Zango college of Health and allied sciences

Zango college of Health and allied sciences "ZANGO COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES
(ZACOHAS)
P. O.

Box 42058, Dar es Salaam – Tanzania. +
Cell: +255717 120 575/+255 629 922 032 /+255 677 561 721/ +255688867646/
Website: www.zacohas.ac.tz
Email: [email protected]
IT: +255769 054309

Elimu na technolojia.
24/01/2022

Elimu na technolojia.

K**a si chuo cha afya Zango, kipi kingine. Jiunge katika chuo kinacho jali na Kuthamini hali ya uchumi wa Mtanzania. Som...
26/11/2021

K**a si chuo cha afya Zango, kipi kingine. Jiunge katika chuo kinacho jali na Kuthamini hali ya uchumi wa Mtanzania. Soma kwa Ada Nafuu saana ukilipa kwa awamu Tano ndani ya mwaka Mmoja

Siku ya tarehe 04/12/2021. Tutakuwa na sherehe ya Kibabe ambayo hakuna chuo kimewhi fanya hivyo hapa nchini kwa kuwapong...
25/11/2021

Siku ya tarehe 04/12/2021. Tutakuwa na sherehe ya Kibabe ambayo hakuna chuo kimewhi fanya hivyo hapa nchini kwa kuwapongeza wanafunzi wetu kwa kumaliza mitihani yao ya kwanza kwa robo muhura lakini na kuweza kufaulu test zote zinazotolewa kila jumamosi ya wiki. ZACOHAS tumejipanga.
Ungana nasi uone Matunda yetu

Raha ya Elimu uwe na Wahadhiri wenye kufundisha kwa kushirikisha wanafunzi. na hawa wanapatikana Zango Chuo tu.Ni chuo c...
22/10/2021

Raha ya Elimu uwe na Wahadhiri wenye kufundisha kwa kushirikisha wanafunzi. na hawa wanapatikana Zango Chuo tu.
Ni chuo cha afya chenye wahadhiri wenye Taaluma ya Kufundisha yaani Teaching Methodology

Team work
22/10/2021

Team work

Director akiwa pamoja na baadhi ya Timu yake kuhakikisha kazi zinaenda sawa
22/10/2021

Director akiwa pamoja na baadhi ya Timu yake kuhakikisha kazi zinaenda sawa

ZACOHAS the best college in Tanzania in providing Health EducationNow we provide Diploma and Certificate on Pharmaceutic...
13/10/2021

ZACOHAS the best college in Tanzania in providing Health Education
Now we provide Diploma and Certificate on Pharmaceutical Science🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎

Pharmacetical students preparing for Tallent show at Ground college 7th oct 2021
11/10/2021

Pharmacetical students preparing for Tallent show at Ground college 7th oct 2021

Mwalimu wa Kompyuta akitoa Mwongozo wa kuingia na kutumia kumputer baada ya Vipindi vya masomo kuisha
11/10/2021

Mwalimu wa Kompyuta akitoa Mwongozo wa kuingia na kutumia kumputer baada ya Vipindi vya masomo kuisha

wakufunzi makini na wenye ujuzi wa kufundisha na kusimamia darasa wakiwa na wanafunzi wao wakijiandaa na michezo.karibu ...
11/10/2021

wakufunzi makini na wenye ujuzi wa kufundisha na kusimamia darasa wakiwa na wanafunzi wao wakijiandaa na michezo.
karibu zango

Principal akisalimiana na Mwanafunzi.Hii utaipata zango college.wanaotoa elimu kwa ada ya bei nafuu ambayo utalipa kwa a...
09/10/2021

Principal akisalimiana na Mwanafunzi.
Hii utaipata zango college.
wanaotoa elimu kwa ada ya bei nafuu ambayo utalipa kwa awamu nne. ada zetu ni Tsh 1,585,000 kwa mwaka

Address

Levolosi

Opening Hours

Monday 06:00 - 19:00
Friday 06:00 - 19:00
Saturday 07:30 - 14:00
Sunday 07:30 - 12:30

Telephone

+61 3 8376 6284

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zango college of Health and allied sciences posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Zango college of Health and allied sciences:

Shortcuts

Share