Kyela Moravian VTC

Kyela Moravian VTC Karibu Chuo cha Moravian Kyela (KMVTC), ni Chuo kilichosajili na mamlaka ya usajili wa vyuo NACTEVET.

30/01/2026

CHUO CHA UFUNDI MOAVIAN KYELA.
Kilichosajiliwa na NACTVET Kwa usajili no. NACTVET/0702 Na kupewa ithibati ya kutoa mafunzo kwanzia daraja la kwanza -daraja la tatu (level 1 -level 3

Tunawatangazia nafasi za masomo ya ufundi katika fani zifuatazo
1. Ufundi umeme
2. Ufundi magari
3. Useremala
4. Ushonaji
5. ICT
6. Saloon (ususi na urembo)
7. Computer application

Chuo kina mazingira mazuri ya kujifunzia, pia chuo kina hostel kwa wanawake na wanaume. Ada ni nafuu sana hulipwa kwa awamu hadi nne.

Baada ya kumaliza chuo kila mwanafunzi anapewa vifaa vya kufanyia kazi kulingana na fani anayosomea.

Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kupitia simu no
0753425315
0775744637
0621448990

25/12/2024
NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2025karibu chuo cha ufundi moravian kyela
25/12/2024

NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2025
karibu chuo cha ufundi moravian kyela

Wageni kutoka Ujeruman waliotembelea Chuoni hapa, wametembelea darasa la kozi ya Computer na kujionea namna wanafunzi wa...
23/02/2024

Wageni kutoka Ujeruman waliotembelea Chuoni hapa, wametembelea darasa la kozi ya Computer na kujionea namna wanafunzi wanavyonufaika na mafunzo yanayotolewa hapa Kyela Moravian VTC .

Karibu Kyela Moravian VTC - 0764-103 046

Wageni kutoka Ujeruman watembelea Chuo chetu cha Kyela Moravian VTC .Mbali na wageni mbalimbali kutoka katika mataifa to...
23/02/2024

Wageni kutoka Ujeruman watembelea Chuo chetu cha Kyela Moravian VTC .

Mbali na wageni mbalimbali kutoka katika mataifa tofauti tofauti kutembelea chuoni hapa,pia Chuo hiki kimekuwa kikipokea wageni wa ndani ya nchi wakija kujionea mambo mbalimbali na wengine wakifika Kwa lengo la kuchukua fomu za kujiunga nk.

Karibu sana Kyela Moravian VTC - 0764103046

Address

Kyela Mjini, Karibu Na Kanisa La Morsvian
Kyela
53729

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kyela Moravian VTC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kyela Moravian VTC:

Shortcuts

Share

Category