09/10/2022
PRE FORM ONE
Tunapoelekea kuanza masomo ya Pre form One siku ya Kesho Jumatatu ya Tarehe 10/10/2022 team toka Keifo Secondary wapo studio za Keifo fm 94.1 kukupa habari njema na ufafanuzi zaidi juu ya masomo hayo.
Mzazi/Mlezi Hujachelewa muwaishe mapema kijana wako aanze pamoja na wenzake.
Masomo ni kwa wanafunzi wa kutwa na Bweni.
Mawasiliano 0623492968/0758 278 812