Golden academy

Golden academy Golden Daycare Centre ni shule ya awali(nursery) ya kutwa, tunafundisha na kutunza watoto kuanzia mi

👉TUNAENDELEA KUANDIKISHA  WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2023📌Form zinapatikana shuleni.Mawasiliano:👉🏾Namba za simu ni: +...
09/01/2023

👉TUNAENDELEA KUANDIKISHA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2023
📌Form zinapatikana shuleni.
Mawasiliano:
👉🏾Namba za simu ni: +255 759 878 914

KARIBUNI SANA!
📌BADO HAUJACHELEWA

👉TUNAENDELEA KUANDIKISHA  WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2023📌Form zinapatikana shuleni.Mawasiliano:👉🏾Namba za simu ni: +...
06/01/2023

👉TUNAENDELEA KUANDIKISHA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2023
📌Form zinapatikana shuleni.
Mawasiliano:
👉🏾Namba za simu ni: +255 759 878 914

KARIBUNI SANA!
📌BADO HAUJACHELEWA

Tumewamiss wanafunzi wetu, tunasubiri kwa hamu shule ifungue, 📌Wazazi pia tunawasisitiza kufanya maandalizi ili watoto w...
04/01/2023

Tumewamiss wanafunzi wetu, tunasubiri kwa hamu shule ifungue,

📌Wazazi pia tunawasisitiza kufanya maandalizi ili watoto waanze masomo pindi tu shule inapofungua.

Mwaka mpya, ndio huo unakuja, Jiulize📌Umepata shule ya nzuri ya kumpeleka MwanaoK**a Bado, Basi Usiwe na mawazo, Jiulize...
30/12/2022

Mwaka mpya, ndio huo unakuja, Jiulize
📌Umepata shule ya nzuri ya kumpeleka Mwanao

K**a Bado, Basi Usiwe na mawazo, Jiulize hili
📌Je unataka shule yenye sifa gani kwa ajili ya Mwanao?

NISIKILIZE: K**a unataka shule inayotoa ELIMU NA MALEZI BORA,
Basi usiteseke kufikiri Mara mbili,

KARIBU Golden academy KWA ELIMU NA MALEZI BORA.

Tunawatakia Kheri ya Christmas, Ikawe yenye furaha na Heri.      .
25/12/2022

Tunawatakia Kheri ya Christmas, Ikawe yenye furaha na Heri. .

Ni rasmi sasa tumeanza kuandikisha watoto wa daycare kwaajili ya mwaka wa masomo 2023, Ukiliona tangazo hili mwambie na ...
29/11/2022

Ni rasmi sasa tumeanza kuandikisha watoto wa daycare kwaajili ya mwaka wa masomo 2023, Ukiliona tangazo hili mwambie na mwenzio.

"Ile Shule inayotoa Elimu na malezi bora wameanza kuandikisha Watoto, Tuwapeleke watoto wetu"

ATAKUSHUKURU SANA BAADAE
.

Mzazi usimuache mtoto nyumbani kuangalia tv na kucheza mlete Golden academy ajifunze chini ya uangalizi wa waalimu marid...
15/11/2022

Mzazi usimuache mtoto nyumbani kuangalia tv na kucheza mlete Golden academy ajifunze chini ya uangalizi wa waalimu maridadi na weredi.

.

Unyanyasaji wa watoto ni swala ambalo wazazi wengi hawalichukulii maanani, ila hawa watoto wadogo wa daycare (miaka 3-7)...
31/10/2022

Unyanyasaji wa watoto ni swala ambalo wazazi wengi hawalichukulii maanani, ila hawa watoto wadogo wa daycare (miaka 3-7) wanapitia mambo mengi magumu
Na yasiyofaa, Huenda ikawa kwa njia ya unyanyasaji wa kimwili, kihisia, au kisaikolojia
Lakini wanashindwa kusema
Hii pia inasababishwa na wazazi kushindwa kumtunza mtoto ipasavyo,
Mfano: Mzazi huna muda wa kuongea na kucheza na mtoto
Unamuacha mtoto na mfanyakazi nyumbani

Kwanini usimlete mwanao Golden academy centre kwa elimu na malezi bora.
Watoto wanapata nafasi ya kujifunza kwa vitendo na michezo
Watoto wanajengewa msingi mzuri katika kuishi na jamii inayowazunguka.
Watoto wanafundishwa kujiamini na kusema ya moyoni bila uwoga.

Pia unaweza kutembelea Golden academy ukajionea mwenyewe jinsi watoto wakiwa kwetu wanafuraha, wako huru kuuliza na kuongea na waalimu wetu k**a vile wapo nyumbani na wazazi wao.
.

MLETE MWANAO Kwa ELIMU NA MALEZI BORA
27/10/2022

MLETE MWANAO Kwa ELIMU NA MALEZI BORA

Mzazi usimruhusu mwanao abweteke likizo Hii, MLete MWAnao Golden Academy centre tumuandae,
02/10/2022

Mzazi usimruhusu mwanao abweteke likizo Hii, MLete MWAnao Golden Academy centre tumuandae,

Wazazi Wapo Bize kupambana na shughuri za utafutaji, Na Watoto wanahitaji usimamizi mzuri, ili kuwaandaa kimalezi na kit...
19/07/2022

Wazazi Wapo Bize kupambana na shughuri za utafutaji, Na Watoto wanahitaji usimamizi mzuri, ili kuwaandaa kimalezi na kitaaluma,
Watoto wanahitaji Mahali watakapo kuwa salama, kifikra na kitaaluma aandaliwe vizuri kuzielekea ndoto zake.

Hapo Sio Mahali pengine, MLETE MWANAO GOLDEN ACADEMY, KWA ELIMU NA MALEZI NA USALAMA WA MWANAO

🔅Unamtafutia mwanao sehemu atakayokuwa salama🔅Unamtafutia sehem ambayo itampandikiza mfumo wake wa maamuzi🔅Unamtafutia s...
16/07/2022

🔅Unamtafutia mwanao sehemu atakayokuwa salama

🔅Unamtafutia sehem ambayo itampandikiza mfumo wake wa maamuzi

🔅Unamtafutia sehemu inayomuandaa awe vipi akiwa mtumzima

⏹Sisi tumejikita Kutoa Elimu na Malezi bora kwa watoto kwa vitendo, kuhakikisha tunayapambania maisha ya mwanao katika nyakati hizi ambazo ni za hatazi kwa watoto wetu.


Ndio maana tukaitwa Golden Academy
Ikiwa na maana kwamba Ubora wetu na uthamani wetu hauwezi kuupata mahali popote.

Karibu Golden Academy Ujionee na Utakiri kuwa HII KWELI NI GOLDEN ACADEMY

Address

Kyela

Telephone

0759878914

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Golden academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Golden academy:

Shortcuts

Share

Category