City College Mwanza Compus

City College Mwanza Compus Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from City College Mwanza Compus, Education, Kisesa.

06/09/2021

It's another Beautiful Monday,with beautiful Campus in Rock City (Mwanza) CCOHAS MWANZA CAMPUS,

Clinical Medicine|Pharmaceutical Science|Social Work ndio kozi tatu zenye mwanga utakaoimulika Kesho yako Kwa usahihi zaidi.

Njoo Ujiunge nasi Kwa kufika Moja Kwa Moja Chuoni,au Tupigie 0755400004|0744100001 pia unaweza kutumia website yetu www.mccohas.ac.tz.

Tukae kwenye kile aliamini  kuhusu elimu. Sisi k**a Chuo tunaiishi kauli hii Kwa kupata Elimu Kwa ada nafuu Sana,lakini ...
04/09/2021

Tukae kwenye kile aliamini kuhusu elimu. Sisi k**a Chuo tunaiishi kauli hii Kwa kupata Elimu Kwa ada nafuu Sana,lakini licha ya hizo ada kuwa nafuu bado tumeweka utaratibu wa Kwa Mwaka.

Yaani Clinical Medicine utalipa 550,000 Γ— 4 Kwa Mwaka.

Pharmaceutical Sciences utalipa 500,000Γ—4 Kwa Mwaka mzima na;

Social Work utalipa 400,000 kisha 300,000 Kwa Semista ya Kwanza na yapili hivyo hivyo.

Tunakuomba uje kujiunga na Chuo Bora chenye ada nafuu,kwa kufika Chuoni Kisesa,au kupitia tovuti www.mccohas.ac.tz na 0755400004|0744100001

Leo ni siku ya 246 tangu Mwaka 2021 Uanze,Kwa maana hiyo zimebaki siku 119  kuumaliza huu Mwaka. Hakikisha unaumaliza hu...
03/09/2021

Leo ni siku ya 246 tangu Mwaka 2021 Uanze,Kwa maana hiyo zimebaki siku 119 kuumaliza huu Mwaka. Hakikisha unaumaliza huu Mwaka ukiwa umetimiza malengo au ya Mwanao kielimu.

Namna pekee ya kutimiza hayo malengo ni Kujiunga na CCOHAS Kampasi ya Mwanza na kusoma fani ambazo zitakufikisha kwenye Dunia ya Mafanikio.
Fani za CLINICAL MEDICINE yenye ada ya 1.8M, PHARMACEUTICAL SCIENCES yenye ada ya 1.6M na SOCIAL WORK yeney ada ya 1M pekee zitakupa maisha Bora Sana.

Tunakukaribisha kujiunga na Chuo Chetu, tembelea www.mccohas.ac.tz,Au tupigie 0755400004|0744100001

Ijumaa Kareem kwako.Bado City College Mwanza campus tunaendelea kusimama k**a Chuo Bora Sana Kwa sasa nchini Tanzania na...
03/09/2021

Ijumaa Kareem kwako.

Bado City College Mwanza campus tunaendelea kusimama k**a Chuo Bora Sana Kwa sasa nchini Tanzania na itakuwa hivyo siku zote. Uzuri wetu hautaishia kwenye majengo Tu bali hata Product tutakazozitoa,namaanisha wanafunzi watakaopita mikononi mwetu hakuna mtu atashindana nao kwenye soko la ajira.

πŸ‘‰Njoo usome City College; CLINICAL MEDICINE|PHARMACEUTICAL SCIENCES AND SOCIAL WORK Kwa Ordinary Diploma. Ada unalipa Kwa awamu nne, hosteli unaishi bure kabisa.

Njoo uombe Moja Kwa moja Chuoni Kisesa Mwanza,au Kwa tovuti www.mcvohas.ac.tz na piga simu 0755400004|0744100001

Mtaalamu mwenyewe,Plato aliwahi kusema "Yeyote anayeikataa Elimu basi atakuwa amekaribia siku zake za Mwisho".Na Sisi tu...
01/09/2021

Mtaalamu mwenyewe,Plato aliwahi kusema "Yeyote anayeikataa Elimu basi atakuwa amekaribia siku zake za Mwisho".

Na Sisi tunasema "Yeyote anayetaka Mafanikio maishani mwake basi aje asome City College Kampasi ya Mwanza". Tunatoa kozi za CLINICAL MEDICINE|PHARMACEUTICAL SCIENCES & SOCIAL WORK Kwa ngazi ya Ordinary Diploma,Ada ni nafuu na unalipa Kwa awamu nne,lakini k**a haitoshi hosteli ni Bure Kwa wanafunzi wote.

Jiunge kupitia www.mccohas.ac.tz,au piga 0755400004|0744100001 pia unaweza kufika Chuoni Moja Kwa Moja Maeneo ya Kanyama, Kisesa Mwanza.



Hakuna ugumu wa kulipa Ada ya CCOHAS MWANZA CAMPUS,unaweza kufanya Kwa njia ya kibenki kuja account ya chuo ya CRDB au N...
01/09/2021

Hakuna ugumu wa kulipa Ada ya CCOHAS MWANZA CAMPUS,unaweza kufanya Kwa njia ya kibenki kuja account ya chuo ya CRDB au NMB

πŸ‘‰Kozi tunazotoa ni CLINICAL MEDICINE ambapo unaweza kuanza Kwa kulipa 550,000, PHARMACEUTICAL SCIENCES unaweza kuanza Kwa kulipa 500,000 na SOCIAL WORK Unaweza kuanza Kwa kulipa 400,000

Ukiwa mwanafunzi wetu,baada ya kuhitimu tunakuhakikishia hakuna mtu atakushinda kwenye Interview za Kazi. Na ukishapata ...
01/09/2021

Ukiwa mwanafunzi wetu,baada ya kuhitimu tunakuhakikishia hakuna mtu atakushinda kwenye Interview za Kazi. Na ukishapata kazi,tunaamini hakuna kitu kitakushinda kazini Kwa maana utakuwa umesoma kwenye Chuo Bora chenye kila kitu Kwa ajili ya Kujifunza.

CLINICAL MEDICINE|PHARMACEUTICAL SCIENCES AND SOCIAL WORK ndo kozi tunazotoa na unalipa Ada Kwa awamu nne lakini pia hostel ni bure.

Tuma maombi Moja Kwa moja Chuoni Kisesa Mwanza au kupitia www.mccohas.ac.tz au tupigie 0744100001|0755400004


Huu ni muda sahihi wa Kukumbushana kuwa,hapa Chuoni kwetu unaweza kulipa 550,000 na ukaanza kusoma Clinical Medicine, un...
31/08/2021

Huu ni muda sahihi wa Kukumbushana kuwa,hapa Chuoni kwetu unaweza kulipa 550,000 na ukaanza kusoma Clinical Medicine, unaweza kulipa 500,000 na ukaanza kusoma Pharmacy na Unaweza kulipa 400,000 ukaanza Kusoma Social Work.

Tunajua kuwa Ada ZETU ni nafuu Sana,lakini kumbuka pia Unapata huduma ya Hosteli bure.

Kitu cha Kufanya, ni kuhakikisha unatuma Maombi yako Moja Kwa Moja Chuoni kwetu Kisesa Mwanza,au tupigie 0744100001|0755400004 na tembelea pia www.mccohas.ac.tz

Bado tunapokea Maombi Kwa intake ya Oktoba katika Kozi za CLINICAL MEDICINE ada ni 1,800,000, PHARMACEUTICAL SCIENCES ad...
31/08/2021

Bado tunapokea Maombi Kwa intake ya Oktoba katika Kozi za CLINICAL MEDICINE ada ni 1,800,000, PHARMACEUTICAL SCIENCES ada ni 1,600,000 na SOCIAL WORK ada ni 1,000,000.

Omba Moja Kwa moja Chuoni,au Ingia kwenye website www.mccohas.ac.tz au wasiliana nasi 0755400004/0744100001

M E M E SπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
29/08/2021

M E M E S
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Tunafurahi kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano na Shirika lisilo la kiserikali la one health society OHS |one health ...
29/08/2021

Tunafurahi kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano na Shirika lisilo la kiserikali la one health society OHS |one health society] ili kutoa elimu ya afya kwa jamii ya Tanzania.

Shirika litakuwa na press conference ili kuzindua program ya uelimishaji jamii juu ya UVIKO19. Lengo ni kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuhimiza hatua madhubuti za kujikinga na ugonjwa huu.
OHS |one health society]

M E M E S.πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹  ukilipia 500,000 unaweza kuanza masomo kabisa. Pia Hostel ni bure, utofauti wetu na wengine ni mkubwa ja...
29/08/2021

M E M E S.
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ ukilipia 500,000 unaweza kuanza masomo kabisa. Pia Hostel ni bure, utofauti wetu na wengine ni mkubwa jaman kwenye kila kituπŸ˜†πŸ˜†

Address

Kisesa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when City College Mwanza Compus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category