KEURA YETU

KEURA YETU Aman yetu n umoja wetu umoja wetu ninguvu tosha ya amani yetu akika tupendane bila kubaguana amani kwenu wote wenye upendo wakweli kwa wezao. KEURA.

13/04/2024

Shule ya historia yako.

12/10/2023

Wana Keura Msiache kusali atakama mnapitia kwenye wakati mgumu. Aijalishi ni mangapi yanakukatisha tamaa na kukunyong'onyesha, Mungu ndio ufunguo wa magumu yote.

Twendekazi unakumbuka lipi hapa, palikua na mengi ya kuzingatia ila wewe nipe moja.
28/09/2023

Twendekazi unakumbuka lipi hapa, palikua na mengi ya kuzingatia ila wewe nipe moja.

Wale wa kwanzia 2002 tukumbushane, huyu ni mwalimu bani na alikua anafundisha somo gani na darasa la ngapi!?
18/09/2023

Wale wa kwanzia 2002 tukumbushane, huyu ni mwalimu bani na alikua anafundisha somo gani na darasa la ngapi!?

27/06/2021

Hellow wana KEURA😍😍😍

25/03/2021

Wanakeura mpo salama!

Uwaminifu utakupa chochote unacho itaji.

Upendo nao
utakueshimisha.

01/09/2020

KEURA YENYE MANUFAA.

20/08/2020

Keura iliyo njema

23/06/2020

UBORA WA KEURA YETU UNAONEKANA KWAWALE WOTE WALIOKUA WANAZINGATIA WALICHOKUA WANFUNDISHWA NA WALIMU WETU. KEURA YETU NIMSINGI BORA KWA WOTE.

08/10/2019

Elimu niufunguo wamaisha.

08/08/2019

Mungu hailaze roho ya marehemu Mwl Aagust Njau mahala pema peponi

20/04/2018

“Challenges are gifts that force us to
search for a new center of gravity. Don't
fight them. Just find a new way to stand.”

Address

KISANGANI
Kirua Vunjo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KEURA YETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category