Bongo mpya

Bongo mpya Je unajua ni kwanini asilimia kubwa ya watu ni wale wenye mahangaiko Kiuchumi, Kimahusiano na Matatizo Mengi kwenye maisha. Karibu tujumuike wote.

Bongo Mpya itakujulisha sababu na kukufundisha namna ya kuweza kuishi maisha ya ndoto zako. Success has already been figured out. Njia mbali mbali za kupata mafanikio katika maisha yetu, zilisha vumbuliwa tayari na tunazifahamu, lakini cha kushangaza mpaka sasa hatuja weza fikia hayo mafanikio, huku ni asilimia chache tu wakifanikiwa.. Bongo Mpya na wewe kwa pamoja tutajua nini chanzo ili kila mmoja wetu aweze kuishi maisha anayotaka kuishi.

Proposed residential building to be built at Mtoni Kijichi Temeke municipal.Features:Three self contained roomMaster bed...
28/03/2025

Proposed residential building to be built at Mtoni Kijichi Temeke municipal.
Features:
Three self contained room
Master bedroom cm dressing room
Living room cm Dinning
Kitchen and store
Gym area
Balcony
Garage
Control room
Family lounge

Mfano Mungu anipe ofa, nikimaliza maisha haya niishi mengine na mengine na mengine hadi mara elfu a thousand lifetime #L...
14/02/2025

Mfano Mungu anipe ofa, nikimaliza maisha haya niishi mengine na mengine na mengine hadi mara elfu a thousand lifetime #
Lifetime 2: nitakutafuta my sweetlove tuishi mwanza
Lifetime 3: tutaishi dodoma
Tukiimaliza Tanzania
Lifetime 24: tunahamia kenya
Tukiimaliza
Lifetime 223: nitakutafuta tuishi falme za kiarabu angalau kuanzia lifetime 223 - lifetime 858
Lifetime 859 na kuendelea tutagawa ulaya marekani hatuendi hata robo..
Nitaishi na wewe hata nipewe options elfu nitakuchagua wewe hata nipende mara elfu nitakupenda wewe hata nioe mara elfu nitakuoa wewe MY LIFE MY WIFE MY VALENTINE😘😘😘😍 nakupenda sanaa mke wangu kipenzii mama wa wanangu.

Watoto: Kwahio baba na sisi tukikua tutakua mama?Baba: kuwaje? Mamaje?Watoto: yaani sisi mama na baba tunakuanae.Baba: H...
04/07/2024

Watoto: Kwahio baba na sisi tukikua tutakua mama?
Baba: kuwaje? Mamaje?
Watoto: yaani sisi mama na baba tunakuanae.
Baba: Hakuna baba mtakuanae zaidi ya Baba wa mbinguni, huwi na baba we mama hakuna hio kitu, muhudumuuuuu waletee juice hawa watoto na icecream ya kukaanga...

Maombi binafsi: Eeh Baba wa mbinguni, nilindie mabinti hawa dhidi ya wanyang'anyi pindi watapokua amen..

FATHER OF TWO, PROUD OF YOU MY KIDS😘😘😘😘
Narudia, ni baba wa mbinguni tu ndo baba pekee wakuanae...

26/01/2024
Dame Zaha Mohammad Hadid (Zaha Hadid)To me she is THE GREATEST OF ALL TIME G.O.A.T🐐Architect aliewaza nje ya box na akaw...
10/09/2023

Dame Zaha Mohammad Hadid (Zaha Hadid)
To me she is THE GREATEST OF ALL TIME G.O.A.T🐐
Architect aliewaza nje ya box na akawa maarufu sana kwa design zake zenye mikunjo ya ajabu (QUEEN OF CURVES).

KINACHOUMIZA TANZANIA WALIMU WANAKUCHAPA/WANAKUPA ADHABU UKIFANYA KITU CHA TOFAUTI, na walimu haohao wanategemea kuwe na mabadiliko kwenye maisha yao na maisha ya waTanzania kwa ujumla!!!

NOTE: Mtoto akiwa mbunifu na watofauti toka akiwa shuleni siku akikua ataleta ubunifu na utofauti kwenye maisha.

RainyDay # #Gplus1 contemporary House3 self-contained bedrooms (1 master)Laundry and Public ToiletSitting roomStoreKitch...
22/10/2022

RainyDay # #
Gplus1 contemporary House
3 self-contained bedrooms (1 master)
Laundry and Public Toilet
Sitting room
Store
Kitchen
Dinning..

Residential House.*3 bedrooms including1 master bedroom2 ordinary bedrooms* Sitting room* Kitchen cm Dinning* Laundry* ...
15/07/2022

Residential House.
*3 bedrooms including
1 master bedroom
2 ordinary bedrooms
* Sitting room
* Kitchen cm Dinning
* Laundry
* Public Toilet

KWA RAMANI ZA NYUMBA:
Full Detailed Drawings 400,000/=.
Standard Drawings 250,000/=.
Normal Drawings 150,000/= - 100,000/=

Kwa maelezo zaidi piga
0685755320
0652117072

ADA ZETU:NB: HII NI KWA WATAKAOJIUNGA MWEZI WA SITA NA MWEZI WA SABA TU.1: ICT :500,000/= 9months2: HOTEL MANAGEMENT: 50...
23/06/2022

ADA ZETU:

NB: HII NI KWA WATAKAOJIUNGA MWEZI WA SITA NA MWEZI WA SABA TU.

1: ICT :500,000/= 9months

2: HOTEL MANAGEMENT: 500,000/= 9months

3: TAILORING (USHONAJI): 500,000/= 9months

4: COMPUTER COURSE: 150,000/= 3months

5: ENGLISH COURSE: 200,000/= 3months

6: DRIVING COURSE: 270,000/= 1month

7: CAKE BAKING (UPISHI WA KEKI): 280,000/= 1month

8: BEAUTY AND COSMETICS (UREMBO): 100,000/= TO 300,000/= 1week to 1month.

9: GRAPHICS DESIGN AND VIDEO PRODUCTION: 250,000/= 3months

10: CHAKULA NA VINYWAJI: 50,000/= TO 300,000/= 1week to 1month

CALL US:

[email protected]
0678823273
0782823273

KARIBUNI.

Address

Kinyerezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo mpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share