PesaTalks

PesaTalks

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from PesaTalks, Education, Sinza, Kinondoni.

PesaTalks –Tanzania’s Youth Financial Media Platform 🇹🇿
📊 Reaching Youth, Creatives & MSMEs with Money Conversations
📺 On Clouds TV | Tue 21:30 EAT
🤝 Sponsorship | Brand Partnerships | Campaigns

Photos from PesaTalks 's post 23/02/2026

Leo tumefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Serikali na 🇹🇿.

Katika kikao na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Hamis Mwinjuma (MwanaFA) tumeweka misingi ya programu kubwa mbili zitakazobadilisha uchumi wa msanii mmoja mmoja na kuijenga upya sekta ya sanaa kwa mtazamo wa kifedha na uwekezaji.

Kikao hicho pia kilihudhuliwa na CEO wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Bi Nyakaho Mahemba!

Tumesimama kuhakikisha kiwanda cha Sanaa & Ubunifu kinaunganishwa moja kwa moja na sekta ya Fedha—kuanzia elimu ya fedha, upatikanaji wa mitaji, hadi uendelevu wa mapato ya wasanii.

Hii si mazungumzo ya kawaida.
Ni mabadiliko ya mfumo.
Ni hatua ya kizazi.


FinancialInclusion
UtukufuUmrudieMunguMkuu ✍️

16/02/2026

MAPINDUZI YA SEKTA YA SANAA NA BURUDANI! APRIL 2026 ITAKUWA NI KUBWA KULIKO!

.tanzania .go.tz

04/02/2026

Nyie piganeni tu ila bila kutoa Elimu Ya Fedha ya Kutosha Hamtoboi!

04/02/2026

DEAL DONE ✍️


! StayTuned🥤

03/02/2026


✊🏿

23/01/2026

Sanaa bila mifumo ya Kifedha itabaki kuwa burudani pekee na sio kichocheo cha Maendeleo ya Msanii binafsi na taifa kwa ujumla!
🎙️ Sanaa × Fedha × Media

Sanaa Pesa Podcast
📅 Every Thursday

Tunaunganisha ubunifu na fedha ili kujenga mustakabali wa wasanii.
👉 Subscribe & follow our pages

23/01/2026

Tuzungumze Sanaa na Fedha!
Je, sanaa yako inalipa kweli?

Kutana na Eberhard Osward
Kila Alhamis ndani ya Sanaa Pesa Podcast

Tunajadili:
• Jinsi wasanii wanavyoweza kutengeneza pesa kwa sanaa yao
• Mifumo ya fedha ndani ya sekta ya ubunifu
• Fursa, changamoto na suluhisho za kweli kutoka kwa wataalam

Subscribe sasa kwenye YouTube Channel
Usikose mazungumzo yanayobadilisha vipaji kuwa biashara

22/01/2026

Kikao cha Wasanii na Watoa Huduma za Fedha –
📌 Kila Wiki, Alhamisi

Tutakuwa tukijadili kwa kina mifumo, fursa na suluhisho zilizopo ndani ya Sekta ya Sanaa, na namna ambavyo sekta ya Fedha inaweza kushiriki na kunufaika kikamilifu katika ukuaji wa tasnia hii.

🎙️ Kutana na Eberhard Osward ()
💼 Financial Manager by Profession
🎭 Talent Manager by Experience

Akiwa na zaidi ya miaka 8 ya uzoefu wa kusimamia wasanii katika ngazi zote—kuanzia chipukizi hadi waliobobea—Eberhard ataleta maarifa ya vitendo kuhusu:
• Usimamizi wa fedha kwa wasanii
• Kujenga mifumo endelevu ya mapato
• Ushirikiano kati ya Sanaa na Taasisi za Fedha
• Kulinda na kukuza thamani ya vipaji

🎯 Tutajifunza. Tutajadili. Tutajenga mifumo.
Kwa pamoja, tunaunda mustakabali imara wa Tasnia ya Sanaa na Uchumi wa Ubunifu.

Shot and edited by

22/01/2026

“Tunapozungumzia elimu ya fedha, ni muhimu pia kuelewa namna ya kulinda mawazo, ubunifu na chapa zetu. Ubunifu ni mali—na mali inahitaji ulinzi. Msikilize Mr. Bendera kutoka Mendez Consultancy akifafanua kwa kina umuhimu wa kulinda ubunifu na chapa yako kabla na baada ya kuiingiza sokoni kibiashara.”

21/01/2026

Uwekezaji katika Soko la Mitaji ha Dhamana unaweza kuanza kwa kiasi cha kununua Hisa 10 na katika Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja kiwango cha Uwekezaji kinaanzia shilingi 10,000 tu!

Isaac Lubeja kutoka Zan Securities alizungumza na vijana katika jukwaa la PesaTalks!

Zan Securities ni moja Kati ya Brokers katika Soko la Hisa na pia wana mfuko wa uwekezaji wa Pamoja unaofahamika K**a Timiza Fund!

Kujifunza zaidi wasiliana nasi tukuunganishe moja kwa moja na Fursa hii!

Want your school to be the top-listed School/college in Kinondoni?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Sinza
Kinondoni