05/06/2018
Ni tamthilia inayohusu maisha ya kweli ya Mapenzi na huzuni sana ya King Jungjong (Yeon Woo-jin) and his wife Queen Dangyeong (Park Min-young)....Queen Dangyeong alikuwa queen kwa siku saba tu na kutolewa huku king jungjong akiwa anampenda sana.
Ina episode 20 na inapatikana hapa bure kabisa.