Ndoa na iheshimiwe

Ndoa na iheshimiwe Ndoa na iheshimiwe page inayo jadiri maswala muhim yanayo husu ndoa
nia nikufanya ndoa iheshimiwe na watu wote kuanzia wana ndoa mpaka wanao izunguk ndoa

29/07/2025

Hellow

*NDOA NA IGESHIMUWE*
17/04/2023

*NDOA NA IGESHIMUWE*

WhatsApp Group Invite

28/04/2022

Ogopa sana mwanamke anaye jihesabia haki katika kila jambo hafai kuwa mchumba wala mke kiufupi hafai mpaka atakapo jifunza kuacha kujihesabia hakiKiufupi mariam pamoja na kuwa bint msafi bikra na mwenye hofu ya Mungu hakujihesabia haki hata mbele ya malaika wa Mungu alijiona mnyonge asiye kuwa na hadh ya kubeba kitu chochote chema toka kwa Mungu
Lakin siku hizi binti hana bikra, hana aibu wanaume wamemuonja onja k**a mapalachichi ya buguluni lakin anajihesabia haki utazan yeye ni sara mke wa ibrahim au ni bikra mariam

Moyo wa mwanamke mnyenyekevu ni dawa kwa familiaNDOA NA IHESHIMIWEKalibu ujiunge group letu la wanandoa walio okoka Grou...
13/04/2022

Moyo wa mwanamke mnyenyekevu ni dawa kwa familia

NDOA NA IHESHIMIWE
Kalibu ujiunge group letu la wanandoa walio okoka
Group hiri ni kwaajiri ya kuwajenga wanandoa katika maadiri ya kindoa,malezi ya familiya na maisha ya kikristo ndani ya ndoa

Group ni kwaajiri ya wanandoa tu kwa wale ambao hawaja oa au kuolewa inashauriwa wasijiunge kabisa

Kujiunga jiunge kupitia link hii tafadhar

WhatsApp Group Invite

12/04/2022

Shalom naomba ficha jina langu
Ni MAFUTA GANI WANATUMIA WANANDOA KWA AJILI YA KUZUIA MCHUBUKO WAKATI WA TENDO

06/04/2022
05/04/2022

Kusema kwel biblia inasema ndoa na iheshimiwe n Watu wote.unapo ongea utan kuhusu ndoa yangu au mke wangu na nikaonekana sifurahi naomba usiuendeleze utani huo badara yake ntafanya maamuzi magum k**a ya will smith

01/04/2022

*NDOA NA IHESHIMIWE*

KALIBU UJIUNHE GROUP LA WANANDOA WALIO OKOKA NA KUZALIWA MARA YA PILI

Group la wana ndoa walio okoka ni special.kujifunza mambo ya ndoa,malezi ya kikristo na maswala ya huduma kwa wanandoa
Group hiri ni special kwa wanandoa kwa ambao bado kuingia kwenye ndoa hapa sio mahari pake

https://chat.whatsapp.com/F74rmsifPxW4K2gPZt0FTT

31/03/2022

*HATARI ZINAZO WAKUMBA WATOTO KATIKA NYAKATI HIZI ZA SASA*

TWAPASWA KUTAMBUA KWAMBA SISI K**A KANISA TUMEINGIA KATIKA KIPINDI KIGUMU SANA AMBACHO SHETAN AMEKUA AKIVAMIA WATOTO KATIKA STAIR YA KIPEKEE SANA NA MBAYA ZAID KULIKO MWANZO

NA KANISA LIMEPOTEZA WAJIBU WAKE KWA KUKAA KIMYA NA KUONA K**A MAJUKUM HAYA YA KUWASAIDIA WATOTO SIO YAKE

WATOTO WAMESAHAULIKA NDANI YA KANISA NA INAONEKANA K**A SIO JUKUM LETU K**A KANISA KUHAKIKISHA KWAMBA WATOTO WANAKUWA SALAMA

SHETANI AMEKUA AKITUMIA SIRAHA ZIFUATAZO KUVAMIA WATOTO

1. VIFAA VYA UMEME
2. FILAMU NA NYIMBO
3. MICHEZO
4. MMOMONYOKO WA MAADIRI

UNAZAN NI KWA NAMNA GANI MAMBO HAYO MAKUU MANNE SHETANI ANAYATUMIA KUHARIBU WATOTO WETU?

Jiunge kwenye Group letu la wanandoa wakristo na walio zaliwa mara ya piliJiunge kwa linki hiikumbuka ni kwa wanandoa tu
04/03/2022

Jiunge kwenye Group letu la wanandoa wakristo na walio zaliwa mara ya pili
Jiunge kwa linki hiikumbuka ni kwa wanandoa tu

WhatsApp Group Invite

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ndoa na iheshimiwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ndoa na iheshimiwe:

Shortcuts

Share

Category