Kilosa Folk Development College

Kilosa Folk Development College The United Republic of Tanzania
Ministry of Education, Science and Technology,
FDC,
PO Box 62, Kilosa

29/08/2021

Umeme
Uselemela
Uashi
Uundaji na uungaji vyuma
Magari
Ushonaji
Mapishi

15/08/2021

1.Umeme wa Majumbani
2. Ushonaji na ubunifu mitindo
3. Uungaji na uundaji vyuma
4. Magari
5. Uashi
6. Usalemala
7. Mapishi
8. Ufugaji

31/12/2018

Happy New Year!

02/12/2018

Wanafunzi wa na wakufunzi pamoja na wageni kutoka Sweden katika moja ya kusanyiko la matangazo asubuhi November 2018

2018 ugeni kutoka marieborg folk high skola-Sweden.Moja ya mafunzo ya michezo ya jukwani yakifundushwa kwa wanafunzi wa ...
02/12/2018

2018 ugeni kutoka marieborg folk high skola-Sweden.

Moja ya mafunzo ya michezo ya jukwani yakifundushwa kwa wanafunzi wa Kilosa FDC

16/11/2018

Hope you Will have a great graduation dayπŸŽ‚πŸ¦’. Miss you all. Marie, Andreas, Andrea, Klara and Isak. Congratulations

27/10/2018

At the AirPort, waiting for our flight to Dar es salaam, Kilosa, look so much forward. See you all Monday πŸ’•πŸ˜ŠπŸŒΈ

20/12/2017
17/11/2017

Today was graduation!
Good luck to all students!
🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟

Chuo cha maendeleo ya wananchi Kilosa (Kilosa fdc) ni chuo cha ufundi stadi kilichopo chini ya wizara ya afya,maendeleo ...
19/05/2017

Chuo cha maendeleo ya wananchi Kilosa (Kilosa fdc) ni chuo cha ufundi stadi kilichopo chini ya wizara ya afya,maendeleo ya jamii, jinsia,wazee na watoto ambapo wanafunzi wa chuo hiki hufanya mitihani ya VETA.
Mzazi au mlezi mlete kijana wako kilosa fdc aje apate elimu ya ufundi katika fani zifuatazo

*umeme
*uashi
*uselemala
*ushonaji

Pia kuna kozi ya kilimo na mifugo.

Fomu zinapatika chuoni kilosa fdc hivyo fika chuoni au tuandikie katika ukurasa wetu au bonyeza neno "call" kwenye ukuta wetu upige moja kwa moja kwa mkuu wa chuo kwa ajili ya kupata maelezo zaidi.

Karibu kilosa fdc
Karibu kilosa

Address

Kilosa

Opening Hours

Monday 08:00 - 03:30
Tuesday 08:00 - 03:30
18:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 15:30
18:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 15:30
18:00 - 19:00
Friday 08:00 - 15:30
18:00 - 19:00

Telephone

+255754078150

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilosa Folk Development College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category