27/07/2023
NAY WA MITEGO ATAKIWA KURIPOTI BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka msanii 'Nay wa Mitego' kufika kwenye ofisi za Baraza hilo leo na sababu kubwa ikitajwa kuwa ni kutokana na wimbo wake mpya wa 'Amkeni.'
Nay, amethibitisha kupokea barua hiyo lakini ameomba siku nyingine ya kuweza kufika kwenye ofisi za Baraza hilo kwasababu kwasasa yupo safarini.
"Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa
Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Amesha fanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine"