Western Tanganyika College

Western Tanganyika College

Comments

Tanizania Tukovizuri hongela sana tanzania
lahaula ragulieli nisasa kawa aduiw lobotatu ya dunia tuxme grazia natumuombe yalikudusi atuepushe nae sisi tupo md kina
si kila king'aacho nitha habu vingine nimfano wa thahabu..
mdogo wangu ana d ya chemistry na biology c na d nne za masomo mengine je anaweza kujiunga koz ya ufamasia
VP course ya muhula wa Mwaka 2019/2020 itaanz link na usajir ni lini na mwixho ni tarehe ngap
Elimu haina mwisho
Elimu ni dhahabu
Ipo njia ionekanayo machoni pa watu kuwa ni sawa kumbe mwisho wake ni njia za mauti.
wangu milele wahrw
KIDOTI ZANZIBA
PAMBA SC.SCHOOL
Right

BUSINESS AND MANAGEMENT COLLEGE. REG.NACTE/BMG/032 AND NBAA.REG/TPRS/051 THE COLLEGE OFFERS COURSES IN:-
CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION
DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION
HOTEL AND TOURISM MANAGEMENT
NBAA REVIEW PROGRAMS
COMPUTER STUDIES
ACCOUNTANCY
PROCUREMENT
MARKETING
OUR MOTTO IS TO PROVIDE QUALITY EDUCATION AND QUALIFICATIONS

Operating as usual

Photos from Western Tanganyika College's post 05/02/2021

Photos from Western Tanganyika College's post

11/12/2019

Karibu Western Tanganyika College

[09/19/19]   Taasisi Imara Ni Ile Inayo Kaguliwa Mara Kwa Mara Na Kukutwa Imara.Hongereni Sana Team Western Tanganyika College.

21/06/2019

vikuu.uk

Habari, wanafunzi wote wa WESTERN TANGANYIKA COLLEGE,waliohitimu Kozi ya Business Administration kuanzia mwaka 2009 mpaka 2015 kwa ngazi ya certificate na diploma kabla ya kuanzishwa kwa mfumo wa udahili wa pamoja yaani Central Admission system, wanaarifiwa kutuma taarifa zao zifuatazo chuoni ili waweze kuingizwa kwenye mfumo huo. Namba ya usajiri ya kidato cha nne ,mwaka wa kumaliza elimu hiyo,jina la Shule ya Secondary na mahali ulipo(Mkoa) na,tarehe ya kuzaliwa.Taarifa hii inahusu wote hata ambao wameisha maliza vyuo vikuu.Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzako. Taarifa ziletwe haraka ili zitumwe NACTE.Taarifa ziwasilishwe reception office kwa Aneth au Stella.Kwa maelezo zaidi piga 0752 200 203.Mungu awabariki.

vikuu.uk

07/06/2019

Ewe Kijana Ambae Umehitimu Kidato Cha 4 Bado Upo Mtaani Na Hauna Ujuzi Wowote Fika Chuo Cha Western Tanganyika College Kigoma Upate Ujuzi Na Maarifa La Sivyo Utapishana Fursa

nacte.go.tz 04/06/2019

The National Council for Technical Education (NACTE) – Strving for world class excellence in technical education and training

Western Tanganyika College Kigoma Ni Chuo Pekee Na Cha Kwanza Kigoma Kuwa Na Kozi Ya Pharmaceutical Science,Business Administration, Records,archive's and Information Management.Taarifa za chuo unaweza pia kuziona ktk Tovuti ya

nacte.go.tz On behalf of the entire team, I’m pleased to welcome you to the National Council for Technical Education’s (NACTE) website where you can find trusted resources and information you need to fully understand the breadth and span of NACTE’s mandate, vision, mission, values, objectives, core activi...

unistoretz.com 15/05/2019

NACTE Online Application for Certificate and Diploma 2019 | NACTE

unistoretz.com NACTE Online Application, NACTE Login , NACTE Guidebook 2019, NACTE Diploma Application, NACTE Certificate Application, NACTE Selections results 2019

[04/24/19]   FAHAMU JINSI YA KUTUMIA KEYBOARD BILA MOUSE
THE LIST OF SOME COMBINATIONS

Ctrl + A - Select All
Ctrl + B - Bold
Ctrl + C - Copy
Ctrl + D - Fill
Ctrl + F - Find
Ctrl + G - Bold
Ctrl + H - Replace
Ctrl + I - Italic
Ctrl + K - Insert a hyperlink
Ctrl + N - New workbook
Ctrl + O - Open
Ctrl + P - Print
Ctrl + R - Nothing right
Ctrl + S - Save
Ctrl + U - Underlined
Ctrl + V - Paste
Ctrl W - Close
Ctrl + X - Cup
Ctrl + Y - Repeat
Ctrl + Z - Cancel
F1 - Help
F2 - Edition
F3 - Paste the name
F4 - Repeat the last action
F4 - When entering a formula, switch between absolute / relative references
F5 - Goto
F6 - Next Pane
F7 - Spell Check
F8 - Extension of the mode
F9 - Recalculate all workbooks
F10 - Activate Menubar
F11 - New graph
F12 - Save As
Ctrl +: - Insert the current time
Ctrl +; - Insert the current date
Ctrl + "- Copy the value of the cell above
Ctrl + '- Copy the formula from the cell above
Shift - Offset Adjustment for Additional Functions in the Excel Menu
Shift + F1 - What is it?
Shift + F2 - Edit cell comment
Shift + F3 - Paste the function into the formula
Shift + F4 - Search Next
Shift + F5 - Find
Shift + F6 - Previous Panel
Shift + F8 - Add to the selection
Shift + F9 - Calculate the active worksheet
Shift + F10 - Popup menu display
Shift + F11 - New spreadsheet
Shift + F12 - Save
Ctrl + F3 - Set name
Ctrl + F4 - Close
Ctrl + F5 - XL, size of the restore window
Ctrl + F6 - Next Workbook Window
Shift + Ctrl + F6 - Previous Workbook Window
Ctrl + F7 - Move window
Ctrl + F8 - Resize Window
Ctrl + F9 - Minimize the workbook
Ctrl + F10 - Maximize or Restore Window
Ctrl + F11 - Inset 4.0 Macro sheet
Ctrl + F1 - Open File
Alt + F1 - Insert a graph
Alt + F2 - Save As
Alt + F4 - Output
Alt + F8 - Macro dialog
Alt + F11 - Visual Basic Editor
Ctrl + Shift + F3 - Create a name using the names of row and column labels
Ctrl + Shift + F6 - Previous Window
Ctrl + Shift + F12 - Printing
Alt + Shift + F1 - New spreadsheet
Alt + Shift + F2 - Save
Alt + = - AutoSum
Ctrl + `- Toggle value / display of the formula
Ctrl + Shift + A - Insert the argument names in the formula
Alt + down arrow - automatic view list
Alt + '- Format Style DIALOGOS.ba

[04/19/19]   Wahi Usajili Wa Muhula Wa Masomo Kwa Mwaka 2019/2020 Kwa Ngazi Ya Cheti Na Diploma Ktk Kozi Ya Pharmaceutical Science Ktk Chuo Cha Western Tanganyika College Kigoma.(Chuo Chetu Ni Full Accredited by NACTE).Tupo Kigoma Mjini Lilipo Kanisa Katoliki Jimbo La Kigoma. Ada Yetu Kwa Mwaka Ni 1,400,000/=Unalipa Kwa Awamu 4. Ada Nafuu Kwa Kozi Hiyo.Mwombaji Anatakiwa Kuwa Na Ufaulu Wa D4 Tu,Ikiwemo Biology Na Chemistry.Kozi Ya Business Administration Na Kozi Ya Records,Archive's and information management Ada Kwa Mwaka Ni Laki 840 Utalipa Kwa Awamu 3.Piga au Sms 0713686812/0756708989

10/04/2019

[03/17/19]   Wahi Kujisajili Ktk Kozi Ya Pharmaceutical Science Ktk Chuo Cha Western Tanganyika College Kigoma.Chuo kipo Kanisa Katoliki Jimboni Kigoma.Ada Yetu Kwa Mwaka Ni 1,300,000/=Unalipa Kwa Awamu 4.Ada Hii Ni Chuo Chetu Pekee Tanzania Kutoza Ada Nafuu Kwa Kozi Hiyo.Mwombaji Anatakiwa Kuwa Na Ufaulu Wa D4 Tu,Ikiwemo Biology Na Chemistry.Mwisho wa kuomba ni 20/3/2019.Piga au Sms 0713686812

08/03/2019
17/02/2019

Tangazo hili linaonyesha Wataalamu Adimu.

04/02/2019

Baadhi Ya Wanafunzi Wa Kozi Ya Pharmaceutical Science Ktk Chuo Cha Western Tanganyika College Kigoma.Wahi Sasa Ujiunge.

03/02/2019

Bukobawadau

#RAS_KAGERA
[1/28, 1:39 PM] Prof Kamuzora RAS Kagera: Tatizo lile lile nililolisema awali. Falsafa ya Elimu yetu ni kuwa watu wanasomea taifa na si kusomea maisha yao. Hivyo, wote mnaingizwa kwenye behewa kuelekea kwenye combinations ambazo Taifa limechagua yaani PCM, PCB, PGM, CBG, CBN, ECA, EGM, HGL, HGE, HGK. Ukikosa nafasi kwenye behewa sasa ndio ukatafute hizo fursa zingine za NACTE na VETA.

Falsafa hii na mfumo huu una athari za kisaikolojia. Kwanza unafanywa watu wakikosa nafasi kwenye behewa la form five wajione kuwa ni watu waliofeli na waliopoteza ndoto za maisha. Pili, inafanya elimu ya NACTE na VETA kuonekana kama ni sitara na hifadhi kwa waliokosa nafasi behewani. Matokeo yake, tunapeleka huko kwenye NACTE na VETA waliopoteza matumaini. Yaani tumegeuza NACTE na VETA kuwa ni elimu mbadala na si chaguo tu kama kwenda form 5.

Katika hili nitapenda kutoa mfano wa jamii ya watanzania wenye asili ya asia. Hivi hawa wanaishiaga wapi? Mbona wengi hawaendi form 5 na hata wanaoenda hawasomi HGL, HGK na HGE bali utawakuta aidha kwenye PCB, PCM na ECA na EGM? Na je mbona huko chuo hawaonekani kwenye vitivo vya Sheria, Sayansi ya Siasa, Sociolojia na Historia na Archaeology? Mbona ni kama hawapo kabisa kwenye Masters degree zinazotolewa na Chuo Kikuu kipendwa cha UDSM na pia hawapatikani kule kwenye Masters za jioni za Mzumbe wala zile za Open University? Lakini mbona pamoja na kutowaona huko kote hatuwaoni mtaani wakipita na bahasha za khaki zenye photocopy za vyeti na barua za kuomba ajira?

Wenzetu hawa walishajinasua siku nyingi katika mtego wa fikra tuliouingia wa kusomeshea watoto kwenda kujaza nafasi za wanaostaafu na kufa katika sekta ya umma. Wenzetu wanajifunza stadi zaidi. Anayetaka uhasibu, akifika form four anajisajili kwenye mitihani ya Bodi za Uhasibu (NBAA na ACCA) anaendelea huko. Wengine watakwenda kujifunza masuala ya kukatisha tiketi za ndege IATA system, wengine watakwenda kujifunza stadi za Hardware na Software Engineering na stadi nyingine nyingine. Wengine watasomea u-pilot, wengine insurances nk. Leo nenda kwenye nursery schools walimu wengi ni watanzania waasia kwa kuwa wanakwenda kusomea fani hiyo. Kwao behewa la form 5 ni moja tu kati ya mabehewa mengine na si behewa takatifu au la wateule.

Wenzangu na sisi tunakwenda na behewa, tunaingia chuo tunapigwa sumu ya DS 101 tunakuwa wanamapinduzi na wachukia mabeberu huku tukisoma archaeology, Sociology, Political Science na Kiswahili mwisho wa siku tunasubiri Sekretariati ya Ajira itangaze kazi tunajikuta inaajiri asilimia 10 tu ya waliomaliza chuo. Mwishowe hao hao wasomi wanarudi kuajriwa na mabepari waliokuwa wanawachukia wakiwa chuo🤣🤣🤣🤣🤣.

Kuna kitu tunakosea mahala.

[01/25/19]   TANGAZO KWA UMMA. Wahitimu Wa Kidato Cha 4 Waliopata Ufaulu Wa Kuanzia D 4 Wa Wahi Kujiunga Na Chuo Cha Western Tanganyika College Kigoma.Ktk Kozi Ya Famasia,Ukutubi Na Kozi Ya Usimamizi ktk Biashara kwa ngazi ya Cheti na Diploma. Usajili Wa CAS NACTE unafungwa Tarehe 26/02/2019. Tuma Sms au Piga 0713686812/0756708989 Karibuni.

[01/12/19]   Ratiba Ya Nacte kwa Waombaji wa Vyuo. 15,01,2019 Mpaka 20,02,2019 ni kupokea maombi ya wanafunzi wa intake ya march 21,2,2019 mpaka tarehe 26,2,2019 ni kuwasajili mtandaoni na 5,3,2019 ndio wanapaswa kuanza semester.Wahi Western Tanganyika College.

[12/28/18]   Wahi Fomu Za Kujiunga Na Chuo Cha Western Tanganyika College Kwa Kozi Ya Pharmaceutical,Business Administration and Records,Achieve and Information Management.March/April 2019.

[11/18/18]   GB fast food Kigoma Inatoa Nafasi Kwa Mwana Group Anaeweza Kupika Chakula Na Vitafunwa. Piga 0713686812

[10/27/18]   Soma Kozi Ya Pharmaceutical Kwa Ada Ya 1,300,000/=Kwa Mwaka Ktk Chuo Cha Western Tanganyika College Kigoma.Tarehe Ya Mwisho ya Usajili 29/10/2018.

[10/25/18]   Jiunge Western Tanganyika College Na Kozi Ya Pharmaceutical,Business Administration and Records,Achieve and Information Management

[10/09/18]   Kwa Waombaji Wa Kozi Ya Pharmaceutical,Business Administration Na Records,Archive and Information Management Wahi Western Tanganyika College Kigoma Kabla Ya Usajili Kufungwa Tarehe 12/10/2018

01/10/2018

Western Tanganyika College Ni Nuru

[09/14/18]   Most successful people on planet Earth are just ordinary people who doesn't have much of education, but they have knowledge, skill and techniques to solve people's need.
They look at the problems as opportunities, challenges as way of learning and make a move.
Educated people always have been so much into analysis of cons and prons of anything they want to try, fear of loosing, they ignore and feel not belonging and part of solutions of the peoples challenges and problems.
50cent says
#getStrap
#Punch

[09/12/18]   Muda Wa Udahili Umeongezwa Hadi 15/9/2018.Wahi Kozi Ya Pharmaceutical ,Business Administration Na Records,Achieve and Information Management

[09/04/18]   Western Tanganyika College Kigoma Imeanza Masomo Ya Bure Kwa Wanachuo Wapya Wa Muhula Wa October 2018.Masomo Hayo Ni:-Communication Skills and IT

[08/31/18]   Western Tanganyika College Kigoma.Tumeanza Kuwaandaa Bure Wanachuo Wetu Wanaotegemea Kuanza Masomo Mwezi October 2018.Ktk Masomo Ya IT Na Communication Skills.Wahi Nafasi Ktk Kozi Ya Pharmaceutical,Business Administration Na Records,Archive and Information management.

[08/28/18]   Wahitimu Wa Western Tanganyika College Ngazi Ya Cheti Na Diploma Ktk Fani Ya Business Administration G.P.A Ya Kuanzia 3.5 Na waishio Dar Tuwasiliane.Kipaumbele Ni Wanawake.

[08/27/18]   Muda Wa Usajili Unaelekea Ukingoni.Wahi Western Tanganyika College Kigoma

[08/13/18]   Wahitimu Wa Kidato Cha 4 Wahini Kujisajili Western Tanganyika College Kigoma Kozi Ya Pharmaceutical Kwa Gharama Ya Chini Ukilinganisha Hata Ile Ya Serikali.

[08/12/18]   Wanakigoma Wenzangu Kwa Sasa Tusiwe Na Vizingizio Kuwa Hatuna Vyuo.Vipo Vya Kozi Ya Biashara, Afya,Sheria,Ualimu,Hali Ya Hewa,Uvuvi na kozi zingine hasa wahitimu wa kidato cha 4.

11/08/2018

Western Tanganyika College

11/08/2018

Western Tanganyika College's cover photo

06/08/2018

Photos from Western Tanganyika College's post

03/08/2018

Videos (show all)

Kilaza Mkuu.

Location

Category

Products

BUSINESS COURSES

Telephone

Website

wetaco.orgfree.com

Address

74
Kigoma
Other Kigoma schools & colleges (show all)
Kigoma Vocational School Ministry Kigoma Vocational School Ministry
Kigoma

Sam had the vision to build a school in his hometown Kigoma, God united the people to make the vision a reality. Partner with us by giving or joining us :)

Gombe School of Environment and Society (GOSESO) Gombe School of Environment and Society (GOSESO)
Kitobe Forest, Box 376
Kigoma

Zeze Secondary School Zeze Secondary School
Zeze School, PO Box 372 Kasulu, Kigoma
Kigoma, KIGOMA

A rural government secondary school in a small village in western Tanzania. The school was set up in 2007 and currently has 130 students in forms 1 to 4.

Ilagala Educational and vocational training centre Ilagala Educational and vocational training centre
Ilagala Village
Kigoma, +255

KIOO Technical and Vocational Education focuses on providing children without access to education the basic training to be self-sufficient

Morama daycare center Morama daycare center
Box 1104 , Kigoma, Near Maweni Referral Hospital
Kigoma, 1604142

This is a private registered daycare center (childcare) with registration number 1264 located at Burega Area in Kigoma ,Tanzania, near Maweni hospital