Katubuka Secondary PC and QT Center

Katubuka Secondary PC and QT Center Katubuka sekondari ina usajili kwa watahiniwa binafsi wa P. 1489 na M. 1489 kwa QT. Mithani ya Taifa hufanyika shuleni. WOTE MNAKARIBISHWA.

Reference number kwa ajili ya usajiri was wanafunzi wa kidato Cha sita zipo tayari. Kituo kimesajiliwa kwa namba p.1489....
08/09/2022

Reference number kwa ajili ya usajiri was wanafunzi wa kidato Cha sita zipo tayari. Kituo kimesajiliwa kwa namba p.1489. kituo Kiko kigoma mjini barabara ya airport. Kwa mawasiliano piga 0759037852

12/02/2022

Pia hostel kwa wavulana ipo piga namba 0759037852 kwa mawasiliano zaidi

11/02/2022

Sasa hostel ipo kwa wasichana. Karibu katubuka secondary PC and QT center

27/12/2021

Mwaka wa masomo 2022 utaanza tarehe 10/1/ 2022. Mnakaribishwa wote mnaohitaji kusoma QT mnaohitaji kurudia masomo ya kidato Cha nne. Ada ni nafuu PC 220,000 kwa mwaka na QT 180,000 kwa mwaka. Hii ni garama ya mfunzo.
Gharama ya practicals kwa sayansi itategemeana na idadi ya masomo anayosoma mwanafunzi.
Kituo kiko kigoma mjini airport road shule ya sekondari katubuka.

WhatsApp namba 0759037852

12/11/2020

Kwa sasa tunapokea wanafunzi wa QT NA PC kwa mwaka wa masomo 2020-2021.
Ninawakaribisha wore. Kwa mawasiliano piga namba 0759037852

09/08/2020

Kazi inaendelea na tunakaribia kumaliza mwaka was masomo was 2020.

23/12/2018

Wadau wa elimu tunaendelea kuwakumbusha kuwa form kwa PC na Qt zinaendelea kutolewa Katubuka sekondari. Karibuni sana

10/11/2018

Wadau Wa elimu kigoma Na kwingineko Tanzania tunaendelea kutoa form kwa wanafunzi Wa QTs na PCs kwa mwaka Wa masomo 2018/2019. Form zinapatikama Katubuka Sekondari Barabara ya kuelekea uwanja wa ndenge ofisi ya makamu Mkuu Wa Shule. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0759037852.
Karibuni wote mnaotaka kurudia mitihani ya kidato cha NNE Na kufanya mitihani ya QT.

21/10/2018

Wanafunzi wetu takribani PC 107 na QT 38 wanajiandaa kufanya mtihani Wa Taifa 2018. Tuwaombee wafanye mitihani yao vizuri.
Pia form kwa mwaka Wa masomo 2018-2019 ziko tayari. Mnakaribishwa wote kuchukua form hizo, zinatolewa bure kabisa. Piga namba 0759037852

07/10/2018

Kwa wadau wa elimu Tanzania.
Katubuka Secondary PC and QT centre inawatangazia kuwa form za kujiunga na masomo kwa mwaka Wa masomo 2018-2019 ziko tayari. Ewe mtanzania unayetaka kurudia mitihani ya
1. Kidato cha nne (form four)
2. Qualifying test (QT) masomo ya sekondari kwa miaka miwili
3. Wanaotaka kufanya mtihani Wa kidato cha sita (form v & vi).
4. Wanaohitaji kusoma foundation course ya open university of Tanzania
5. Wanahitaji kusoma Degree ya open university kwa kozi za education
Mnakaribishwa Katubuka sekondari kuchukua form. Zipo za kutosha.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba +255759037852. Mwl. Ayoub Stanley Bigeni.

18/08/2018

Wadau wa elimu kigoma na Tanzania kwa ujumla kituo cha katubuka kwa wanafunzi wanaorudia mitihani ya kidato cha NNE, sita na QT masomo yanaendelea. Wasiliana nasi kwa namba 0759037852

Address

P. O. Box 1234
Kigoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255759037852

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katubuka Secondary PC and QT Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Katubuka Secondary PC and QT Center:

Shortcuts

Share