08/03/2022
Mazingira Safi na tulivu kwa kujisomea na kupata kilicho Bora zaidi. Kigoma training College tupo kwa ajiri yako ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa hawamu nne, uwepo wa internet(wireless) Bure kabisa kwa kila mwanafunzi na SoMo la computer hutolewa Bure kwa kila mwanafunzi