05/12/2024
Kuna tofauti kati ya uelewa binafsi na ubinafsi wa kuelewa. Kweli kila mtu ana mwelekeo wake wa kujenga uelewa wa mambo; jifunze jinsi ya kuwaelewa wengine kwa mitazamo yao iliyo tofauti na ya kwako ili kuepukana na ubinafsi wa kuelewa mambo.
Kumbuka! Watu wengi wamepotoka kwa mitazamo yao wenyewe. Epuka kubishana na kweli usije ukaumia kwenye maisha yako."
~ vinvima ~