Ahava Secondary School

Ahava Secondary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ahava Secondary School, School, Kibondo mjini, Kigoma.

Happy Labor day. Let's celebrate our workforce.
01/05/2026

Happy Labor day. Let's celebrate our workforce.

27/04/2026

Tanzania ya Kijani. Zoezi la upandaji wa miti katika shule ya sekondari Ahava

24/04/2026

Happy Birthday to all Teachers and Students born in April

Happy birthday to all Teachers and Students born in April.
24/04/2026

Happy birthday to all Teachers and Students born in April.

24/04/2026

Happy Birthday to all Teachers and students born in April 🎂🎂.

18/04/2026

18/04/2026

“God has placed potential inside you—
Technology will elevate you to reach the world 🌍💻
Welcome to lear Computer Course at AHAVA AND WALAWI SCHOOL .”

MAANDAMANO  YA AMANI BAADA YA USHINDI WA F4 NAMBA 3 KITAIFA 2025 Ndugu wazazi na walezi, viongozi wa serikali na wa cham...
04/02/2026

MAANDAMANO YA AMANI BAADA YA USHINDI WA F4 NAMBA 3 KITAIFA 2025

Ndugu wazazi na walezi, viongozi wa serikali na wa chama, walimu wenzangu, wanafunzi wapendwa, wageni waalikwa, na wananchi wote wa wilaya ya kibondo na maeneo jirani BWANA YESU ASIFIWE :

Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufika siku hii ya furaha na fahari kubwa. siku ya jumamosi tutakuwa na maandamano ya kuuzunguuka mji wa KIBONDO Leo kusherehekea ushindi mkubwa wa Shule ya Sekondari Ahava, ambayo imefanikiwa kupata nafasi ya TATU KITAIFA. Huu ni ushindi wa kihistoria, si kwa shule yetu tu, bali kwa wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma, na Taifa kwa ujumla.
Ushindi huu haukuja kwa bahati mbaya. Umetokana na juhudi, nidhamu, kujituma, na mshikamano wa wadau wote wa elimu.
Nawapongeza sana wanafunzi wetu kwa bidii yenu, uvumilivu, na kuamini kuwa inawezekana kufika mbali hata ukiwa Kibondo.
Hakika Mmeonyesha kuwa ndoto haina mipaka.
Nawashukuru kwa dhati walimu wetu kwa kazi kubwa ya kufundisha kwa moyo, kufuatilia maendeleo ya wanafunzi, na kujitoa mchana na usiku. Nyinyi ni nguzo ya mafanikio haya.

Pia nawapongeza wazazi na walezi kwa ushirikiano wenu, malezi bora, na kuunga mkono jitihada za shule.

Shukrani za pekee ziende kwa mkurugenzi wa shule yetu MCH MAILIDI JUMA , kwa kuweka mazingira mazuri ya elimu. Msaada wa kiroho , miundombinu, vitabu, sera na miongozo umechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio haya.

Zaidi shukurani zangu ziende kwa serikali kuanzia ngazi ya wilaya ,mkoa hadi taifa kwa ushirikiano wenu na shule yetu ulio chanya ambao ndio sababuya mafanikio haya :

Ndugu zangu, ushindi huu ni mwanzo, si mwisho. Unatupa changamoto ya kufanya vizuri zaidi. Tunajipanga kuhakikisha tunadumisha viwango vya juu vya taaluma, maadili, na nidhamu ili Ahava Secondary School iendelee kung’ara zaidi kitaifa na kimataifa.

Kwa pamoja, tuendelee kushirikiana, tuilinde shule yetu, na tuijenge Kibondo yenye elimu bora.

Nawakaribisha wananchi wote kushiriki maandamano ya ushindi kwa amani, furaha, na nidhamu siku ya jumamosi ya tarehe 07/02/2026

MWISHO
Siku ya jumapili 08/02/2026 tutakuwa na ibada ya kumshukuru MUNGU WETU ALIYE TUWEZESHA KUFANYA HAYA YOTE ITAKAYOFANYIKA UKUMBI WA AHAVA SECONDARY.
Wafilipi 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

MKUU WA SHULE AHAVA SEC

KUKIRI
07/08/2025

KUKIRI

Ahava Sekondari

04/02/2025

I gained 479 followers, created 7 posts and received 706 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

Uongozi wa Shule ya Sekondary Ahava unapenda kuwatangazia nafasi za pre form one kwa wahitimu wa darasa la saba fomu zin...
03/10/2022

Uongozi wa Shule ya Sekondary Ahava unapenda kuwatangazia nafasi za pre form one kwa wahitimu wa darasa la saba fomu zinapatikana kwa gharama ya Tsh 10,000/= tu kwa mawasiliano piga simu number: 0768152121 wahi nafasi ni chache.

Address

Kibondo Mjini
Kigoma

Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 06:00 - 17:00
Thursday 06:00 - 17:00
Friday 06:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255755799744

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahava Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ahava Secondary School:

Shortcuts

Share

Category