Ihsan Islamic Secondary School

Ihsan Islamic Secondary School

Comments

INNALILLAH WA INNA ILLAIH RAJIUUN.
poleni Sana kwa Msiba Mzito
Ipo Safi Sana hii shule Allah azidi kuwabariki Inshallah
JE WAIJUA eSCHOOL VEMA?

Huu ni mfumo wa uendeshaji wa shule kidijitali (kimtandao) na unatumika mahala popote ulipo duniani kusimamia shughuli za uendeshaji wa shule. Baadha ya zinazofanywa na mfumo ni:

i. Kusajili wanafunzi (wapya na wanaoendelea)

ii. Kupata taarifa za wanafunzi kwa haraka zinapohitajika

iii. Kuita majina ya wanafunzi (attendance) kwa kutumia simu ya mkononi

iv. Kukusanya Ada na michango ya wanafunzi

v. Kulipa mishahara ya watumishi

vi. Kukusanya mapato ya aina mbalimbali

vii. Kuandaa ratiba za masoma darasani

viii. Kuandaa ratiba za mitihani.

ix. Kutoa taarifa ya matakeo

x. Kutuma taarifa za matokeo kwa wazazi popote walipo na kuwafikia kwa muda muafaka

xi. Kuandaa home work(kazi za nyumbani) za wanafunzi na kuwatumia popote walipo hata k**a hata k**a wapo likizo

xii. Kufahamu mtiririko malipo ya ada na michango kwa wazazi ili kujua unadaiwa kiasi gani na shule au umelipa kiasi gani mpaka sasa bila mzazi kufika shulen kuuliza.

xiii. Kumfahamu mwalimu wa somo wa mwanao pasina kufika shuleni

xiv. Kujua mapato na matumizi ya shule ukiwa mbali na shule kwa muda wote

xv. Kujua mahudhurio ya watumishi(staff)

Xvi. Kuandaa mkeka wa matokea kwa urahisi na kupanga matokeo hata k**a upo nje ya shule

Xvii. Kujua wadaiwa wa ada kwa ujumla

Xviii. Kutoa risit za malipo yote

Xix. Kutoa risit za ada

Xx. Kutoa riport zote za mfumo mzima kwa ufasaha. Wasiliana na vijana wenzio wabunifu ili kuinua elimu yetu kwa mawasiliano zaid na maelezo namba 0757502744/ 0763397243 /0694230550 email ramadhankilima2 [email protected]

Am familiar with that school. Big congrant with Mr Saiboko during IDF semina at Muzdalif sec school-kijichi, under the topic of *CONFIDENCE* he presented... big up Ihsan
###
TANGAZO ! TANGAZO,

Tafadhali mshilikishe na mwenzio,

Usilalamike kuwa huna Ajira,

Western Tanganyika College Kigoma
Inatangaza nafasi za kazi
Ya 1. Ualimu kwa Kozi Ya Pharmaceutical Science Kwa Ngazi Ya Cheti Na Diploma( yani kufundisha Chuo)
Sifa Ya Mwombaji Awe Na Diploma Au Degree Ya Fani Husika.2.Nafasi 2 Ya Mtoa Huduma Ya Uchapaji Kazi za Wanafunzi Na Walimu Na Huduma ya Copy. Sifa Awe Muhitimu wa Kidato cha 4,Uzoefu ktk kazi hiyo Kuanzia Mwaka 1 Na Awe mkazi Ndani ya Manispaa ya Kigoma Ujiji.
K**a kutakuwa na Ndugu yako,
Jamaa yako, mshilikishe,

Mawasiliano
Piga simu namba
+225713686812/0752200203
Share kwenye magroup ,
Great idea to have student messages too! Well done.
Hiyo ada sh ngapi
Naam. Ni kweli kabisa kuwa Ihsan Islamic Secondary School ni shule bora kwa taaluma, nidhamu, mandhari na uongozi. Binafsi nimeyashuhudia hayo kwa kuwepo Ihsan kwa muda wa siku MBILI- mwezi wa nne mwaka huu katika semina ya walimu iliyooandaliwa na TAHISCO.

Alhamdulillah, Ihsani ni shule bura saaaana!!!
Mashaallh
Alihamdulillah

Ihsan Islamic Secondary School is located at Kigamboni District in KIsarawe II ward close to
Dar es salaam Zoo Ukooni area. It is about 25 km from Ferry.

Shule hii mpya ni ya bweni itakayoendeshwa kwa maadili ya Kiislamu. Ihsan ni shule ya Wavulana na Wasichana. Shule itafunguliwa Januari 2016 inshaallah. Kwa maelezo zaidi kuhusu taratibu za kujiunga tupigie kupitia 0785 296424, 0713 929324. 0713 854350.

Operating as usual

23/08/2021

ASSALAAM ALAYKUM, KARIBU KIDATO CHA KWANZA 2022

It's now easier to call Ihsan Islamic Secondary School. 29/07/2021

It's now easier to call Ihsan Islamic Secondary School.

It's now easier to call Ihsan Islamic Secondary School.

Ihsan Islamic Secondary School updated their information in their About section. 29/07/2021

Ihsan Islamic Secondary School updated their information in their About section.

Ihsan Islamic Secondary School updated their information in their About section.

Ihsan Islamic Secondary School updated their phone number. 29/07/2021

Ihsan Islamic Secondary School updated their phone number.

Ihsan Islamic Secondary School updated their phone number.

Ihsan Islamic Secondary School updated their address. 29/07/2021

Ihsan Islamic Secondary School updated their address.

Ihsan Islamic Secondary School updated their address.

22/02/2021
22/02/2021
28/12/2020

IHSAN ISLAMIC SEC SCHOOL IS THE PREFERRED ISLAMIC SCHOOL IN TANZANIA. KAIBUNI

IHSAN ISLAMIC SEC SCHOOL IS THE PREFERRED ISLAMIC SCHOOL IN TANZANIA. KAIBUNI

22/12/2020

KARIBU IHSAN KWA ELIMU BORA KWA WATOTO WETU.

KARIBU IHSAN KWA ELIMU BORA KWA WATOTO WETU.

15/12/2020

IHSAN TUNA WAALIMU WABOBEZI KATIKA KILA IDARA ZA MASOMO K**A VILE SAYANSI,DINI,BIASHARA,TEHAMA NA SANAA. WALIMU WOTE NI WENYE UWEZO WA KUFUNDISHA NA KUTOA USHAURI KWA WANAFUNZI NA WAZAZI .MLETE MWANAO IHSAN KWA ELIMU BORA.TUWASILIANE 0715299945 KARIBUNI SANA.

07/12/2020

IHSAN ISLAMIC SEC SCHOOL INATOA HAKI SAWA KATIKA KUTOA ELIMU BAINA YA WANAFUNZI WASICHANA NA WAVULANA.MLETE MWANAO IHSAN LEO KWA ELIMU BORA.KARIBUNI.

IHSAN ISLAMIC SEC SCHOOL INATOA HAKI SAWA KATIKA KUTOA ELIMU BAINA YA WANAFUNZI WASICHANA NA WAVULANA.MLETE MWANAO IHSAN LEO KWA ELIMU BORA.KARIBUNI.

30/11/2020

Ihsan inawakaribisha wazazi/walezi kuitembelea shule kuona mandhari ya shule na kuonana na walimu ili kupata maelezo ya shule na masomo ana kwa ana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0715299945,karibuni.

24/11/2020

KARIBU IHSAN, WANAFUNZI WANAANDALIWA ILI KUWEZA KUISHI NA KUFANYA KAZI KWA VITENDEA KAZI VYA DUNIA YA LEO. MLETE MWANAO IHSAN KWA ELIMU BORA.

KARIBU IHSAN, WANAFUNZI WANAANDALIWA ILI KUWEZA KUISHI NA KUFANYA KAZI KWA VITENDEA KAZI VYA DUNIA YA LEO. MLETE MWANAO IHSAN KWA ELIMU BORA.

17/11/2020

KARIBU IHSANI,NI SHULE INAYOFUNDISHA KWA UMAHIRI NA VITENDO KWA WANAFUNZI. KWA ELIMU BORA MLETE MWANAO IHSAN ISLAMIC SEC SCHOOL. TUWASILIANE KUPITIA 0715299945, KARIBU.

KARIBU IHSANI,NI SHULE INAYOFUNDISHA KWA UMAHIRI NA VITENDO KWA WANAFUNZI. KWA ELIMU BORA MLETE MWANAO IHSAN ISLAMIC SEC SCHOOL. TUWASILIANE KUPITIA 0715299945, KARIBU.

12/10/2020

Tunajenga Uwezo wa Sayansi kwa Wanafunzi kwa Vitendo. Maabara ya Kisasa.Mzazi/ Mlezi Karibu Ihsan.

12/10/2020

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

01/10/2020

KARIBU IHSAN ISLAMIC SECONDARY SCHOOL

01/10/2020

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

21/09/2020

KARIBUNI WAZAZI/WALEZI. USAILI WA KIDATO CHA KWANZA 2021 UTAFANYIKA 11.10.2020 SHULENI KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.FOMU ZA USAILI ZINAPATIKANA SHULENI AU KATIKA TOVUTI YETU WWW.IHSANSCHOOLS.AC.TZ . TUWASILIANE KWA NAMBA 0715 299 945. KARIBU

21/09/2020

KARIBU KIDATO CHA KWANZA 2021. USAILI UTAFANYIKA 11.10.2020 SHULENI KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.FOMU ZA USAILI ZINAPATIKANA SHULENI AU KATIKA TOVUTI YETU WWW.IHSANSCHOOLS.AC.TZ . TUWASILIANE KWA NAMBA 0715 299 945. KARIBU

09/09/2020

KARIBU KIDATO CHA KWANZA 2021. FOMU ZA USAILI ZINAPATIKANA SHULENI AU KATIKA TOVUTI YETU WWW.IHSANSCHOOLS.AC.TZ .USAILI NI 19.09.2020 NA 11.10.2020 SHULENI KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.

09/09/2020

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

07/09/2020

KARIBU KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021. FOMU ZA USAILI ZINAPATIKANA SHULENI AU KATIKA TOVUTI YETU WWW.IHSANSCHOOLS.AC.TZ .USAILI NI 19.09.2020 NA 11.10.2020 SHULENI KIGAMBONI, DAR ES SALAAM. TUWASILIANE KUPITIA 0715299945 AU 0713 929324. IHSAN NI CHAGUO BORA KWA ELIMU YA WATOTO WETU.

07/09/2020

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

[09/02/20]   TUNAWAKARIBISHA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021. FOMU ZA USAILI ZINAPATIKANA SHULENI AU KATIKA TOVUTI YETU WWW.IHSANSCHOOLS.AC.TZ .USAILI UTAFANYIKA TAREHE 19.09.2020 NA 11.10.2020 SHULENI KIGAMBONI, DAR ES SALAAM. TUWASILIANE KUPITIA 0715299945 AU 0713 929324. IHSAN NI CHAGUO BORA KWA ELIMU YA WATOTO WETU.

17/08/2020

KARIBU TUKUHUDUMIE

17/08/2020

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

17/08/2020

Karibu Ihsan Islamic Secondary....

28/10/2019

IHSAN IMESIKILIZA MAOMBI YA WAZAZI/WALEZI WENGI WALIOOMBA KUHAMISHIA WATOTO WAO IHSAN KATIKA KIDATO CHA PILI NA CHA TATU 2020 KWA KUTENGA SIKU MBILI ZA USAILI KWA WALE WOTE WANAOHITAJI KUHAMIA. MLETE MWANAO TAREHE 07.12.2019 AU 14.12.2019 SHULENI KIGAMBONI.

28/10/2019

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

18/09/2019

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

13/09/2019

Ihsan Islamic Secondary School's cover photo

10/09/2019

KARIBU KIDATO CHA KWANZA 2020.

USAILI WA KWANZA UTAFANYIKA 15.09.2019 SHULENI KIGAMBONI,DAR ES SALAAM. FOMU ZA USAILI ZINAPATIKANA SHULENI AU KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM UTALETEWA ULIPO AU PAKUA KATIKA WWW.IHSANSCHOOLS.AC.TZ. TUWASILIANE KWA 0715 299945. KARIBUNI SANA.

Videos (show all)

KARIBUNI WAZAZI/WALEZI. USAILI WA KIDATO CHA KWANZA 2021 UTAFANYIKA 11.10.2020 SHULENI KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.FOMU ZA ...
KARIBU TUKUHUDUMIE
Karibu Ihsan Islamic Secondary....
KARIBU KIDATO CHA KWANZA 2020.
Here you gonna see your dream come true
KARIBU KIDATO CHA KWANZA 2020
Assalaam aleykum. Napenda kuwafahamisha kwamba mitihani ya usaili kwa ajili ya kuhamia KII na KIII itafanyika shuleni Ih...
Kwanini Ihsan Ni Chaguo Bora kwa Mwanao? Sikiliza.

Location

Category

Telephone

Address

P.O Box 36374
Kigamboni
Other Kigamboni schools & colleges (show all)
Olais African Projects Olais African Projects
Kimara, Dar Es Salaam
Kigamboni, 16104

Promoting local business into international grounds

Montecarlo Pre & Primary School Montecarlo Pre & Primary School
Mjimwema, Kigamboni
Kigamboni

Montecarlo Pre & Primary School is located at Mjimwema and Kisarawe II, Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania. For Nursery: 0677 727 301 For Primary: 0762 291 539 Email: [email protected]