29/11/2021
Watu wengi. Wamekuwa na CHANGAMOTO ya kutafuta fedha
{Je tunaliangaziaje hili?}
Think out of the box wamekuangazia hili
Pesa ni kitu chathamani ambacho kinakuwezesha kupata kitu chochote kutoka kwa mtu mwingine
Lakini chakushangaza kituambacho wengi hawajagundua kuwa hakuna mtu anaetoa pesa take bila kuona Jambo linalo mridhisha na kumpepelekea atoe esa yake
Je wewe umesha fundua hilo?
K**a umesha gundua Basi kwamsaada wa think out of the box cha kufahamu kuwa wazo pekee ndilo kinaweza kuleta pesa huna wazo huwezi kupata pesa
Tengenezwa wazo ambalo lita leta tija k**a
👉Kutatua changamoto katika jamii
👉Litaleta faida Kati yako na atakaetoa pesa
👉Wazo lako liweze kuainisha hasara na jinsi utakavyo weza kuzikabili
👉Wazo lako liwe chini ya utendaji wa Watu kuanzia watano na kuendelea
👉Wazo lako liainishe ni kiasi gani kitatumia kwenye kutekeleza hilo wazo lako
Hayo machache tu ila kwĂ msaada Zaidi ya
(Namna ya kutengeneza wazo zuri kulitumia Ili upate pesa karibu whatsApp kwĂ kugusa buton uliyo andikwa whatsApp mwanzo wa page hii kupata ufahamu zaidi