07/07/2023
Kila mtoto ana uwezo mkubwa wa kuelewa MASOMO yanayofundishwa shuleni na anapofundishwa anapaswa: 1. Kumsikiliza Mwalimu, 2. Kuuliza maswali k**a kuna mahali hajaelewa, 3. Kujadili mada na wenzake pale inapobidi, 4. Kufanya marudio ya masomo aliyofundishwa, 5. Kufanya mazoezi ya kutosha kwa kila somo Ili kupima uelewa, Kusaidia kuhifadhi kumbukumbu NA KUMPA UZOEFU WA MASWALI YA MITIHANI.
Sisi k**a Santa Lukas Pre and Primary School tunatoa nafasi sawa kwa wanafunzi kujibu na kuuliza maswali pindi wanapofundishwa ili kupima uwezo wa kuelewa na kujenga ujasiri wa mtoto!