Kagemulo DAY CARE

Kagemulo DAY CARE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kagemulo DAY CARE, School, Dege, Kigamboni.

17/06/2026

*Ukisoma kitabu Hiki kitakufunza mambo mengi ambayo yatakusaidia kuwalea watoto wako katika njia iwapasayo kufikia Malengo yao....Kinapatikana Kagemulo Bookshop kwa Bei nafuu ya elfu 20...Weka order Yako 0713 147 899 upate copy zako wewe na mwanao...*
Kipo cha Kiswahili pia Bei ni Ile Ile
Kinaitwa Think and Grow Rich by Napoleon Hill

13/06/2026
07/06/2026
27/05/2026

πŸ“šβœ¨ READING & MATH BOOT CAMP βœ¨βž•βž—
🎯 Malengo ya Programu Programu hii imelenga kusaidia watoto:
βœ… Kujenga tabia ya kujisomea na kupenda kusoma kwa ufasaha
βœ… Kuongeza uwezo wa Hisabati kwa haraka na usahihi (Speed & Accuracy)
βœ… Kujenga kujiamini na kujithamini (Self-Esteem)
βœ… Kujifunza kuzungumza mbele za watu kwa ujasiri (Public Speaking Skills)
βœ… Kuboresha nidhamu, umakini na ushirikiano katika kujifunza
πŸ‘§πŸ§’ Makundi ya Umri
β€’ Miaka 6 – 9
β€’ Miaka 10 – 12
β€’ Miaka 13 – 16
πŸ“ Mahali:
KGE Pre-School & Learning Center
Dege – Kigamboni
πŸ“… Tarehe:
08 Juni – 03 Julai 2026
⏰ Ratiba za Mafunzo
πŸ”Ή Regular Program
8:00 Asubuhi – 12:30 Jioni
πŸ”Ή Special Program
1:30 Mchana – 3:30 Mchana
πŸ”Ή VIP Program
4:00 Mchana – 6:00 Jioni

YAWEZEKANA WENGI MNAOSOMA  UJUMBE HUU MIAKA  50 IJAYO TUSIWEPO DUNIANI..ILA HAIMAANISHI TUSIJEWELEE MALENGO YA MIAKA 100...
21/02/2025

YAWEZEKANA WENGI MNAOSOMA UJUMBE HUU MIAKA 50 IJAYO TUSIWEPO DUNIANI..ILA HAIMAANISHI TUSIJEWELEE MALENGO YA MIAKA 100 IJAYO...KINACHOKUFA NI MWILI TUU..MAONO HAYAFI.NAIPENDA NCHI YANGU,NAIPENDA TANZANIA YANGU.MIMI NI MZALENDO.
MC Kazaura Eric Girardin Rwanda Media Ikulu Tanzania Kigamboni Community Centre-KCC Dorothy Gwajima

Address

Dege
Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kagemulo DAY CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category