L.G.L School for Disciples

L.G.L School for Disciples KARIBU UKUE KIROHO

25/09/2020
25/09/2020

HII NI SHULE YA WAFUASI WA KRISTO INAYOITWA L.G.L YAANI
L---- LEARN( JIFUNZE)
G---GROW ( UKUE)
L----LEAD(UONGOZE)
NI MAHALI AMBAPO TUNAJIFUNZA, TUNAKUA KIROHO NA KUWA NA UWEZO WA KUONGOZA WENGINE KUJA KWA KRISTO. HII NI KULINGANA NA AGIZO KUU AMBALO KANISA LIMEPEWA YAANI " KUWAFANYA MATAIFA YOTE KUWA WANAFUNZI..." MATHAYO 28: 19-20
HUWEZI KUWAFANYA WENGINE KUWA WAFUASI K**A WEWE MWENYEWE BADO HUJAWA MFUASI WA KRISTO.
KARIBU UJIFUNZE BURE KABISA.
MAWASILIANO 0683358313/0764595571

JE UMEOKOKA NA HUJAPATA MWALIMU WA KUKUFUNDISHA KUUKULIA WOKOVU?JE UNASIKIA MSUKUMO WA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU ILI UWEZE...
25/09/2020

JE UMEOKOKA NA HUJAPATA MWALIMU WA KUKUFUNDISHA KUUKULIA WOKOVU?
JE UNASIKIA MSUKUMO WA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU ILI UWEZE KUMJUA MUNGU ZAIDI NA UWEZE KUWAJULISHA WENGINE HABARI ZAKE?
JE UNAHISI KUNA KARAMA IKO NDANI YAKO NA HUJUI UANZEJE KUITUMIA? UNATAMANI KUTAMBUA KARAMA ILIYOMO NDANI YAKO?
JE UNATAMANI KUMTUMIKIA MUNGU NA HUJUI UANZIE WAPI?
L.G.L ni mahali ambapo utapata yote hayo karibu sana tumjue Mungu kwa pamoja. Tunaanza Januari muhula mpya wa masomo, ni bure kabisa, tunapatikana Mbagala Dar es salaam
Barikiwa

Address

Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when L.G.L School for Disciples posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category