Mkugwa Girls' HIGH School

Mkugwa Girls' HIGH School Page hii ni maalumu kwa ajili ya wanafunzi na waliowahi kuwa wanafunzi katika shule hii ya Mkugwa, p

10/04/2017

Habarini wana MKUGWA ,Nitumie nafasi hii kuwaga rasmi k**a kiongozi katika hii Page nimekuwa nanyi kwa muda sasa lakini kwa sasa nimehamishwa shuleni.hivyo sitakuwa tena mwalimu Wa MKUGWA SEKONDARI. Niwashukuru members wote kwa ushirikiano mlionipa.lakini nikiwa nawaaga nionyeshe masikitiko yangu mengi sana kwa MTU aliyejibatiza jina langu Na anayelitumia vibaya kutapeli wazazi hakika namuomba aache Mara moja so far mzazi mmoja ameshatapeliwa tsh 20000/=Hivyo nawatahadhalisha watu wote kuwa makini Na watu hawa wenye nia ovu,kwani katika miaka yangu nane niliyokaa MKUGWA sijawahi kumwibia mzazi yeyote hata centi moja.hivyo usitume fedha zako kwa sir messo huyu feki.Mwisho niwatakia uck mwema nawapenda wote.Na karibuni MOYOWOSI SEKONDARI.

FORM V Geography takers study tour to Mtabila refugees Camp.
24/02/2017

FORM V Geography takers study tour to Mtabila refugees Camp.

16/07/2016

Matokeo ya kidato cha sita shule ya sekondari mkugwa 2016 .s0299 .results summary.Dv 1=13,Dv II=53,DV lll=20,DV IV=0,DV O=0.RANK Region wise 2/10,Nation wise 72/423.

27/06/2016

fomu za kujiunga na kidato cha tano zinapatikana kwenye tovuti ya www.tamisemi.go.tz.pamoja na mawasiliano ya mkuu wa shule na makamu,usimtumie fedha mtu yeyote usiye mjua shule haina utafatibu huo.shule ni ya wasichana tu na ina michepuo mitano ,HGK,HGL,HKL,EGM,Na CBG.

25/09/2013
25/09/2013

Vipi habari za leo natumai hujambo......mashambulizi ya magaidi nchini Kenya yamekwisha lakini yameleta hasara kubwa.

Vifo vya zaidi ya watu sitini na majeruhi zaidi ya 175.

Rais Kenyatta ametangaza siku tatu za maombolezi akisema kuwa waliohusika watakIona cha mtema kuni.

NINI UJUMBE WAKO KWA WAKENYA K**A MWANAAFRIKA MASHARIKI?

25/09/2013

KARIBUNI KATIKA PAGE YETU ILI KUINUA TAALUMA MKUGWA

Address

Kibondo
121KIBONDO

Telephone

+255755357797

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkugwa Girls' HIGH School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mkugwa Girls' HIGH School:

Shortcuts

Share

Category