Fabcast Schools

Fabcast Schools Shule za Fabcast zinalea wanafunzi katika maadili ya kidini na maadili mema na kupambana kuhakikisha malengo yanafikiwa

Malezi bora na elimu bora karibu ujiunge nasi
08/10/2024

Malezi bora na elimu bora karibu ujiunge nasi

Wanafunzi wa imani ya kiislamu wakiwankatikanpichabya pamoja na mashekhe baada ya dua ya pamoja kwaajili ya kujiandaa na...
20/08/2024

Wanafunzi wa imani ya kiislamu wakiwankatikanpichabya pamoja na mashekhe baada ya dua ya pamoja kwaajili ya kujiandaa na mitihani ya mwaka huu

Wanafunzi wwnye imani ya kikristo wakiwa katika maombi maalumu kwaajili ya kujiandaa na mitihani yao ya mwaka 2024
20/08/2024

Wanafunzi wwnye imani ya kikristo wakiwa katika maombi maalumu kwaajili ya kujiandaa na mitihani yao ya mwaka 2024

Karibj
18/08/2024

Karibj

Karibu ya Secondary Fabcast iliopo kibaha Pwani kwa mathiad karibu na chuo kikuu huria. Mlete mwanao apate msingi burn w...
29/06/2024

Karibu ya Secondary Fabcast iliopo kibaha Pwani kwa mathiad karibu na chuo kikuu huria. Mlete mwanao apate msingi burn wa maisho yake.

29/06/2024
Usaili umeanza kwaajili ya Pre form one 2024....masomo yataanza 16/9/2024 piga simu ili kujisajili 0712272007...07661908...
28/06/2024

Usaili umeanza kwaajili ya Pre form one 2024....masomo yataanza 16/9/2024 piga simu ili kujisajili 0712272007...0766190804

Karibu Fabcast pre&primary school.....usaili kwa wanafunzi wanaohamia unafanyika kila siku kuanzia saa nne kamili asubuh...
28/06/2024

Karibu Fabcast pre&primary school.....usaili kwa wanafunzi wanaohamia unafanyika kila siku kuanzia saa nne kamili asubuhi....

Karibu fabcast schools
28/06/2024

Karibu fabcast schools

Wanafunzi wa Fabcast Schools secondary wakiwa katika matukio tofauti katika kipindi cha June program kwa madarasa ya mit...
25/06/2024

Wanafunzi wa Fabcast Schools secondary wakiwa katika matukio tofauti katika kipindi cha June program kwa madarasa ya mitihani wakiendelea kupikwa ili kujiandaa na mitihani yao........Pia nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza n kidato cha tatu zipo.....kwa mawasiliano piga 0712272007 hii ni ya kwetu wote.

Mazingira na wanafunzi wa shule ya secondary fabcast wakiwa katika shughuli mbalimbali ndani ya shule yao
25/06/2024

Mazingira na wanafunzi wa shule ya secondary fabcast wakiwa katika shughuli mbalimbali ndani ya shule yao

Address

Bungo
Kibaha

Telephone

+255712272007

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fabcast Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Fabcast Schools:

Shortcuts

Share

Category