29/10/2024
Habari ndugu zangu. Fursa nyingine ichangamkie Kuna hekari 6 hapa Mtaa wa Miswe bagamoyo road tokea Mlandizi zinauzwa . Za pamoja , ni tambarare maji umeme vipo karibu, limetambuliwa tu. Kila hekari ni sh, 9Milion. Karibuni ni pazuri nicheck 0656729407