Gili Pre & Primary School

Gili Pre & Primary School Its a day nursery and primary school

Gili ni shule ya wasichana ya bweni tu, imesajiliwa na wizara ya elimu kwa namba S.4375 na baraza la mitihani la taifa kwa namba S.4565. . Tupo Kibaha Maili Moja B,

Kwa mafanikio makubwa ya kitaaluma ya shule ya sekondari sasa imeamuakuanzisha shule ya awali na msingi

Karibu Wazazi kwa Walezi wa wanafunzi wa Gili Shule ya Msingi.------------------------------------------Michezo ni sehem...
29/08/2024

Karibu Wazazi kwa Walezi wa wanafunzi wa Gili Shule ya Msingi.
------------------------------------------
Michezo ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku.
------------------------------------------
Michezo husaidia wanafunzi kuwa timamu kimwili na akili tayari kwa kujifunza na kujipatia ujuzi na maarifa. Michezo ni furaha, michezo ni afya.🏐

EDUCATION = FREEDOM🎓📚

Makabidhiano ya Kamusi Kuu toleo jipya baina ya Uongozi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa na Uongozi wa Shule za Gili.Hak...
16/02/2024

Makabidhiano ya Kamusi Kuu toleo jipya baina ya Uongozi wa Baraza la Kiswahili la Taifa na Uongozi wa Shule za Gili.Hakika idara ya lugha inaushukuru sana uongozi wa Gili kwa kukieshimisha sana Kiswahili kwani ujenzi wa Istilahi bila Leksikografia ni ngumu. Kazi iendelee

Confidence is here and we can do it again..
08/02/2024

Confidence is here and we can do it again..

The future is something we create.
29/01/2024

The future is something we create.

Siku ya Jana Tarehe 05/01/2024 Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kitengo Cha Usalama barabarani lilifanya ukaguzi wa magari ...
06/01/2024

Siku ya Jana Tarehe 05/01/2024 Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kitengo Cha Usalama barabarani lilifanya ukaguzi wa magari yetu ya Shule na kukagua leseni za madereva wetu. Tunawashukuru sana kwa kujali Usalama wa Watanzania na Watoto wetu.

Katika ukaguzi huo Jeshi la Polisi limeridhika na Hali ya kiusalama wa magari yetu yote 7 na madereva wote walikidhi vigezo vya kuendesha magari ya wanafunzi..
Shule tunafungua siku ya Jumatatu na Kila kitu kipo katika Hali nzuri. Karibuni
Nafasi za kuhamia bado zipo. Tupigie kwenye namba +255753744144

Hello 2024...
05/01/2024

Hello 2024...

24/12/2023
Kila jema kwenu Wazazi/walezi, Walimu, wafanyakazi wasio walimu, wanafunzi wote na wadau wetu wote...Mungu mwenye Enzi a...
24/12/2023

Kila jema kwenu Wazazi/walezi, Walimu, wafanyakazi wasio walimu, wanafunzi wote na wadau wetu wote...

Mungu mwenye Enzi awape furaha, Amani na Upendo popote mlipo.

Address

Kibaha Maili Moja
Kibaha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gili Pre & Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Gili Pre & Primary School:

Shortcuts

Share