Medical Lec Tanzania

Medical Lec Tanzania Lecture notes in Clinical Medicine and Biology

Hivi karibuni tutakuwa tanaangaza makala mbalimbali kuhusu afya ya wananchi pia tutakuwa tunatoa notes ama vitabu kwa wa...
05/09/2022

Hivi karibuni tutakuwa tanaangaza makala mbalimbali kuhusu afya ya wananchi pia tutakuwa tunatoa notes ama vitabu kwa wanafunzi wa vyuo vya Afya

31/08/2022

Leo umeamka na Uchovu wa Jana , mshukuru Mungu Kwa Afya njema aliekupatia siku Hii ya leo
Sisi Jukumu letu ni kukumbusha kusafisha kinywa Kwa kutumia Mswaki na DAWA ya Meno yenye Fluoride
Kwa nini? Tunasema DAWA ya Meno yenye Fluoride
1.Fluoride inazuia kutoboka Kwa Meno Kwa kua inaimarisha biochemistry structure ya jino hivyo kufanya bacteria kufa ama kuondolewa kirahis
2.inazuia Meno kupata allergies na kuimarisha Afya ya fizi na kinywa
-sio kwenye Dawa za Meno Tu inawekwa hata kwenye maji inawekwa kulingana na Sera mbalimbali za Afya ya Jamii Dunia
🦷💪
nb: kuhusu swala la Fluoride kuleta Changamoto kwenye Afya Hasa ikizidi kiwango kinachotakiwa Hilo tutaongea siku nyingine..
information and Dr.babbler : Denis Pontian Banoba student at OUT Bsc in Biology
Hapa: PERFECT CLINIC.
nakutakia Afya Njema.

What is The Dx ? Fill Ure answer ⬇️⬇️⬇️ share in Your groups
16/04/2022

What is The Dx ? Fill Ure answer ⬇️⬇️⬇️
share in Your groups

Cerebral Palsy = utindio wa ubongoCity College of Health and Allied City College of Health and Allied Sciences-CampusCit...
03/01/2022

Cerebral Palsy = utindio wa ubongo
City College of Health and Allied City College of Health and Allied Sciences-CampusCity College of Health and Allied Sciences-CampusCity College of Health and Allied Sciences-Campus

Follow me on Instagram@denis_pontian

Habari project ya Kwanza ya Lec notes ya pediatric notes ya wanafunzi wa stashahada ya uafisa tabibu Kwa Tanzania ndio i...
01/01/2022

Habari project ya Kwanza ya Lec notes ya pediatric notes ya wanafunzi wa stashahada ya uafisa tabibu Kwa Tanzania ndio inaanza Kwa asilimia 0% tunategemea Hadi mwezi September tutakua tumekamilisha mradi huu panapo mapenzi ya mwenyezi mungu

Follow us on Instagram@denis_pontian &

Address

Dar Es Salaam
Kibaha
00000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Medical Lec Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category