25/01/2024
Teknolojia ya blockchain ni nini? Jibu: Ni namna ambayo aina nyingi ya fedha za kidigitali hufanya kazi. Mfano wa fedha za kidigitali ni Bitcoin, Doge, Zacash, Miners,Namecoin, Peercoin, na Ethereum. Teknolojia hii ya Block Chain hujulikana pia k**a WEB3. Aidha, teknolojia hii hutumika katika namna mbalimbali k**a vile: 1. Kufanya malipo. 2. Kutunza fedha. 3. Kutunza kumbukumbu za kimifumo. Mfano mifumo ya afya....
Teknolojia ya blockchain ni nini? Jibu: Ni namna ambayo aina nyingi ya fedha za kidigitali hufanya kazi. Mfano wa fedha za kidigitali ni Bitcoin, Doge, Zacash, Miners,Namecoin, Peercoin, na Ethereu…