Muyovozi Secondary School

Muyovozi Secondary School Our school Our Home

Mnikumbushe kuwa naweza kuwa ndani ya huu mjengo siku moja.
28/11/2023

Mnikumbushe kuwa naweza kuwa ndani ya huu mjengo siku moja.

Amina
22/05/2022

Amina

Hongera mama.Hongera MH.SAMIAH SULUHU.TUPO NAWE..Kazi inaendelea,..
29/06/2021

Hongera mama.
Hongera MH.SAMIAH SULUHU.
TUPO NAWE..
Kazi inaendelea,..

25/11/2020

Undiscripted Criter$

Ni two Members wa Muyovozi Secondary School intake ya kwanza wataje majina na ujishindie Vocha ya sh. 1000.
09/10/2020

Ni two Members wa Muyovozi Secondary School intake ya kwanza wataje majina na ujishindie Vocha ya sh. 1000.

Leo nimekukumbuka ,shabani nakuapiaShairi naliandika, yote ulituambia,Nchi ya kusadikika,leo tunajioneaShabani uliandika...
21/05/2020

Leo nimekukumbuka ,shabani nakuapia
Shairi naliandika, yote ulituambia,
Nchi ya kusadikika,leo tunajionea
Shabani uliandika, au litutabiria

Viongozi madaraka, leo wamejilewea
Wananchi kadhalika,jasho limewatotea
Jua kali linawaka, kivuli kimekimbia
Shabani uliandika au litutabiria

Uhuru umetoweka, jamii inapotea
Raia wameshachoka, hata viongozi pia
Mimi jack meandika, uvunguni metulia
Shabani uliandika au litutabiria

Mwisho nimekukumbuka, dua ninakuombea
Peponi ulipofika, mungu takufikiria
Nami siku itafika, kuja kukutembelea
Shabani uliandika, au litutabiria

By
Jackson John Mwenda malenga wa kulenga

Enzi hizo
14/07/2019

Enzi hizo

Leo nimekukumbuka ,shabani nakuapiaShairi naliandika, yote ulituambia,Nchi ya kusadikika,leo tunajioneaShabani uliandika...
09/04/2017

Leo nimekukumbuka ,shabani nakuapia
Shairi naliandika, yote ulituambia,
Nchi ya kusadikika,leo tunajionea
Shabani uliandika, au litutabiria

Viongozi madaraka, leo wamejilewea
Wananchi kadhalika,jasho limewatotea
Jua kali linawaka, kivuli kimekimbia
Shabani uliandika au litutabiria

Uhuru umetoweka, jamii inapotea
Raia wameshachoka, hata viongozi pia
Mimi jack meandika, uvunguni metulia
Shabani uliandika au litutabiria

Mwisho nimekukumbuka, dua ninakuombea
Peponi ulipofika, mungu takufikiria
Nami siku itafika, kuja kukutembelea
Shabani uliandika, au litutabiria

By
Jackson John Mwenda malenga wa kulenga

jaman mi nimemumiss vya kutosha sir.katukamwe na mh.sanga bila kumsahau lecture we2 mzuzu{sir Nzwiba}
30/12/2014

jaman mi nimemumiss vya kutosha sir.katukamwe na mh.sanga bila kumsahau lecture we2 mzuzu{sir Nzwiba}

30/11/2014

Narud Nyumbani Wapendwa!

Address

Muyovozi
Kasulu

Telephone

+255679834998

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muyovozi Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Muyovozi Secondary School:

Shortcuts

Share

Category