Kichaa Karogwa TENA

Kichaa Karogwa TENA hii pages niya vichekesho ambavyo havikiuki maadili ya kitanzania matusi haya hitajiki hapa

03/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Shadrack A P Fungo, Bonane Mwati

03/06/2024

AINA ZA WANAWAKE AMBAO LAZIMA UTUMIE KONDOMU ❌❌❌

1) K**a dem ana tattoo tumia condom *πŸƒπŸƒπŸ˜πŸ˜

*2.) k**a dem ni mlevi anapenda sana bia .....tumia condom*😁😁

*3. K**a dem akiwa na wewe ana zima sim .....tumia condom*😁😁

*4. K**a dem yeye ndio wa kwanza kukuvua shirt. Mkiwa chumbani .... Tumia Condom!*😁😁

*5. K**a mwanamke anapenda. Kuunguza nywere tumia ... Condom!*😁😁

*6. K**a mwanamke hakuulizi kuhusu condom wakati wa s*x ..... my brother condom!*😁😁

*7. K**a dem anavaa jinzi ya kubana .... Condom*😁😁

*8. Dem ukitongoza leo na akakupa mzigo leo ....tumia . Condom!*😁😁

*9. K**a dem anaishi peke yake ..... condom please*😁😁🚢

*10. K**a dem anafanya kazi in a hair salon, booth or bar..... condom*😁😁🚢

*11. K**a dem ni student wa UDOM, MLIMAN CITY na secondary ... Condom oooh*😁😁

*12. K**a dem anapenda sana facebook ....tumia condom*πŸ˜³πŸ˜πŸ˜πŸƒ

*13. K**a dem kaweka pin kwenye pua na amevaa kikuku mguuni ... my brother tumia condom mbili *πŸšΆπŸƒπŸƒ

*14. K**a dem anapenda kuongea na wanaume tumia condom*😁

*15 k**a dem Jina lake ni Lucy, Maggie, ana ,Ruth, roze, pendo, selina, jack Naomi..….... tumia 8 condoms ba CEE πŸ₯΄*

*16. Ukiona mwanamke ana dis kuhusu hii post brother ujue uyo ni wakutumia condom

Tai hapigani na nyoka chini. Inaichukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha inamwachilia nyoka angani. Ny...
21/05/2024

Tai hapigani na nyoka chini.
Inaichukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha inamwachilia nyoka angani.

Nyoka hana stamina, hana nguvu na hana uwezo wa kuwa na maisha hewani. Nyoka ni dhaifu na anaweza kudhurika tofauti na ardhini ambapo ana nguvu ya hekima na mauti.

Chukua vita yako uipeleke katika ulimwengu wa roho kwa kufunga kuomba na ukiwa katika ulimwengu wa roho Mungu anachukua vita vyako.

Usipigane na adui katika eneo lake la faraja, badilisha uwanja wa vita k**a Tai na umruhusu Mungu atawale kupitia maombi yako ya dhati.
MUNGU NI KIMBILIO NA NGUVU NA MSAADA UONEKANAO TELE WAKATI WA MATESO.
#

23/03/2024

Ni uchovu au sigara bwege 🀣🀣

10/02/2024

Manzi yako muda huu anaongea na Crush wake wa Ofisini kwao, na anamwambia πŸ‘‡πŸ½

"Mara hii tuu nimesha-Kumisi"

Uzuri haujui mwanangu πŸ˜‚kichaa karogea tena

Ukiwa uko tungi acha kuchatiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
18/01/2024

Ukiwa uko tungi acha kuchatiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

05/01/2024

Ila hii nchi uhuru umepitilizaπŸ˜‚πŸ˜‚

Nyoosha na hiyo  njia nishakuona! πŸ˜‚
05/01/2024

Nyoosha na hiyo njia nishakuona! πŸ˜‚

26/12/2023

Kidogo tu agekuwa kitoweo cha sikukuuπŸ˜‚

Hii imeenda😁
03/11/2023

Hii imeenda😁

Huku Kamsamba tunafurahia mvua inyeshe twende shambani lakini huko dar wanafurahia mvua ili wafanye Uzinzi  kichaa karog...
02/11/2023

Huku Kamsamba tunafurahia mvua inyeshe twende shambani lakini huko dar wanafurahia mvua ili wafanye Uzinzi kichaa karogwa tenaπŸ˜‚πŸ˜‚

01/11/2023

BARABARANI..unakutana na mwanamke masikini mwenye mtoto mgongoni, unashusha vioo vya gari na kumuuliza sauti ya kijeshi..
Unauza bei gani mchicha na hizo ndizi?? Anakujibu kwa unyenyekevu ''nauza mchicha fungu mia mbili na ndizi fungu shilingi elfu moja!!
Kwa zarau unamwambia nataka fungu 5 kwa mia tana na ndizi nataka fungu moja kwa mia 5 vinginevyo hununui..
Muuzaji anakubaliana na hali anakujibu chukua kwa bei unayotaka kwa maana toka asubuhi sijauza tena anakubariki kwa kumuunga..
Wew!! Kwa zarau unamrushia hela unawasha gari kwa kasi unamwachia vumbi lina mgubika mtoto mgogoni huku yeye akikohoa..

Kesho yake unaenda hoteli ya nyota tano unawaagizia marafiki zako chakula wanachotaka chenye thamani ya shilingi lak 6 na hofa kwa muhudumu ya shilingi elf 2O ..

Tujifunze kuwaheshimu na kuwathamini watu maskini, kwanin tunaenda kununua vitu kwa masikini tunakuwa wakali sana lakn tukienda kwa mwenye uwezo tunanyenyekea, maisha hubadilika mda wowote

Address

Majengo
Kariakoo

Telephone

+255713728402

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kichaa Karogwa TENA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share