KKKT Kariakoo Morning Glory

KKKT Kariakoo Morning Glory Huduma ya Kikristo ya madhehebu mbalimbali, Nyote mnakaribishwa! Kila siku saa 12 asubuhi nzuri ya

08/09/2024
https://youtube.com/live/ydB1N4QBO8A
29/08/2024

https://youtube.com/live/ydB1N4QBO8A

UJUMBE WA LEOTAREHE 28-8-2024MAOMBI YA KIMKAKATI YENYE KULETA MABADILIKO YATAKAYOKUSAIDIA KUTOKA MAHALI ULIPOSHIKILIWA AU ULIPOKAMATWA.(Familia ya Kuhani Eli...

IBADA ZA MORNING GLORY ZINAENDELEA..
23/08/2024

IBADA ZA MORNING GLORY ZINAENDELEA..

Ndugu zangu Ibada ni Mbili. Karibuni Tumwabudu Mungu wetu
13/07/2024

Ndugu zangu Ibada ni Mbili. Karibuni Tumwabudu Mungu wetu

Karibuni Tumwabudu Mungu Wetu, Ibada itakuwa moja na Itaanza saa 1 Kamili.Masomo: Zab.119:1-8; Yn.13:12-15,1The.1:8-10
29/06/2024

Karibuni Tumwabudu Mungu Wetu, Ibada itakuwa moja na Itaanza saa 1 Kamili.
Masomo: Zab.119:1-8; Yn.13:12-15,1The.1:8-10

Kariakoo ni maarufu zaidi kwa kutembelea k**a unataka kufanya shopping. Hapa Kariakoo kuna ghorofa lenye soko na la kipe...
15/05/2024

Kariakoo ni maarufu zaidi kwa kutembelea k**a unataka kufanya shopping. Hapa Kariakoo kuna ghorofa lenye soko na la kipekee. Hili jengo lilibuniwa na Arch. B. J. Amuli na kukamilika mnamo mwaka 1974. Karibu kabisa mwa jengo hilo kuna jengo lingine la Kanisa la KKKT Kariakoo ambalo nalo lilibuniwa na huyu huyu mzee Amuli na kukamilika mwaka huohuo yaani mwaka 1974. Mwaka huu jengo letu linatumiza miaka 50.. Karibuni kwa Maoni.. Na kwa moyo wa kupenda changia Buku 10. Elfu Kumi tu

Wapendwa Jumapili Hii ni ibada ya Kusifu Kuabudu na Kumtolea Mungu sadaka ya Fungu la kumi. Tutaabudu, Tutaimba na Tutam...
02/05/2024

Wapendwa Jumapili Hii ni ibada ya Kusifu Kuabudu na Kumtolea Mungu sadaka ya Fungu la kumi. Tutaabudu, Tutaimba na Tutamsifu Mungu kwa viwango vya juu vya utukufu. Ibada ni moja na itaanza saa 1 kamili Asubuhi.

Address

Likoma/Magila
Kariakoo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Kariakoo Morning Glory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to KKKT Kariakoo Morning Glory:

Shortcuts

Share