Shule ya Msingi NyanengeKakonkodc

Shule ya Msingi NyanengeKakonkodc "ELIMU BORA KWA KIZAZI BORA"

21/05/2022

Kwa Sasa napatikana Shule ya Msingi Bwera,iliyopo kata ya Muhange.
Niwakaribishe kwa uwekezaji katika sekta ya Elimu na Kilimo.

07/10/2021

Wazazi mnaofuatilia page hii,juu ya shule yetu,muendelee kuwa wavumilivu kwa kipindi hiki ambacho wengi wetu tunasubiria tuone wanetu walichokipanda.

Uongozi wa shule ya msingi Nyanenge kwa kushirikiana na k**ati ya Taaluma inapenda kuwashukuru walimu kwa jitihada ziliz...
22/11/2020

Uongozi wa shule ya msingi Nyanenge kwa kushirikiana na k**ati ya Taaluma inapenda kuwashukuru walimu kwa jitihada zilizopelekea kufaulisha wanafunzi 22/22 sawa na 100%.
Heko kwa wanafunzi,walimu na wazazi.
2021 tumejipanga

14/11/2020

Mola endelea kutujlia mshik**ano tulionao baina yetu udumu milele na milele.

24/09/2020

Wanafunzi wa darasa la saba waliopata daraja A kwenye mtihani wa Kiswahili Mock Mkoa 2020,wakifurahia ahadi ya mwl wao ya kula ubwabwa k**a motisha.

Shule imefunguliwa na kazi inaendelea,Mungu ni ni mwema kondoo wote wamerejea.
07/09/2020

Shule imefunguliwa na kazi inaendelea,
Mungu ni ni mwema kondoo wote wamerejea.

28/07/2020

Shughuli inaendelea ya malezi.

11/02/2020

:Nchi ya Canada imetoa msaada wa Bilioni 90 kusaidia serikali yaTanzania kuwajengea walimu uwezo wa kutumia teknolojia za kisasa kufundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

Kamati ya Taaluma ya Shule ya Msingi Nyanenge inapenda kuwapongeza  wanafunzi wa darasa la nne 2019 kwa kufanya vizuri k...
14/01/2020

Kamati ya Taaluma ya Shule ya Msingi Nyanenge inapenda kuwapongeza wanafunzi wa darasa la nne 2019 kwa kufanya vizuri katika mtihani wa Taifa 2019.
Pia Shukrani kwa walimu wote waliojitoa kufanikisha nafasi hii.
Tuendelee kuwa na moyo wa kufanya kazi kwa kujituma licha ya changamoto zinazotukabili.
"TUMEJIPANGA KUTEKELEZA".

03/12/2019
TUNAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU. HIVYO NI VYOO MATUNDU 8 NA CHUMBA KIMOJA MAA...
29/11/2019

TUNAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU.
HIVYO NI VYOO MATUNDU 8 NA CHUMBA KIMOJA MAALUMU KWA WANAFUNZI WA K**E.

Address

Kakonko

Telephone

+255766622543

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shule ya Msingi NyanengeKakonkodc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category