11/05/2024
Mwalimu haweki akili kwa mwanafunzi bali huweka maarifa kwa mwanafunzi mwenye akili. K**a huamini jiulize darasa la wanafunzi 40 mwalimu mmoja anafundisha somo baada ya zoezi baadhi wanapata A wengine B,C,D na F hii ndio maana halisi ya kutofautiana uwezo wa akili.
Happy sabbath