Sunset pre & primary school

Sunset pre & primary school

Comments

Pamoja Sana katika kulijenga Taifa.
I love sunset pre and primary school,Look at my cute identical twins,waiting to join standard 5 in the year 2018.Mk**ate Elimu usimuache aende zake.
Hongereni sana sunset kwa kutunza watoto wetu mungu awasaidie na kuwaongoza ili muwe na moyo wa kusaidia taifa letu la kesho

Shule ipo kahama -Shinyanga ni ya awali na msingi,pia ni ya bweni na kutwa.Mlete mwanao apate elimu na malezi bora kwa taifa la kesho. Fomu zinapatikana shuleni na kahama filling station
kwa mawasiliano zaidi :0767254410 : 0754402010 : 0756632233 : 0752301871 : 0753036624

Operating as usual

05/05/2021
17/03/2021
25/02/2021
Photos from Sunset pre & primary school's post 04/02/2021

Mapokezi yanaendelea elim bora na sio bora elim nyote mnakaribishwa

Photos from Sunset pre & primary school's post 18/01/2021

Ubola wa shule nimatokeo mazuri ya watoto katika maendeleo yao kielim ufaulu wao haya ni baadhi ya matokeo ya kidato cha nne kwa watoti waliotoka sun set

Photos from Sunset pre & primary school's post 10/12/2020

Photos from Sunset pre & primary school's post

22/11/2020
12/11/2020
23/07/2020

Photos from Sunset pre & primary school's post

23/07/2020

Photos from Sunset pre & primary school's post

08/06/2020

Mkurugenzi mtendaji wa sunset pre and primary school

25/01/2020

KAHAMA NDOO KWETU

24/01/2020
02/11/2019

Photos from Sunset pre & primary school's post

02/11/2019
15/10/2019
04/09/2019

Photos from Sunset pre & primary school's post

03/03/2019

Photos from Sunset pre & primary school's post

20/01/2019

Photos from Sunset pre & primary school's post

28/12/2018

Photos from Sunset pre & primary school's post

02/12/2018
02/12/2018
02/12/2018
02/12/2018

Sunset pre & primary school

15/09/2018

Sunset pre & primary school

15/09/2018

Mwenyezimungu awape uhai mlefu

20/06/2018

AMANI NA UPENDO VITAWALE WAFANYAKAZI WOTE WA SUNSET

SUNSET SCHOOL TOGETHER WE CAN

20/06/2018

SUNSET SCHOOL TOGETHER WE CAN

13/05/2018

jumaa mubarakah wana sunset mungu awe nanyi

09/02/2018

karibu Sana
#SunsetPrimarySchool

✔Bashok
✔Salum
✔Zennat
✔Godfrey
Tunawapenda sana ⏬

27/01/2018

#SunsetPrimarySchool

27/01/2018

Siku za weekiend kama Jumamosi ni siku special Kwa ajili ya kutambua vipaji vya watoto wetu,
..Nyuso zenye furaha kuashiria wanafurahia maisha ya shule..
#SunsetSchool
#WelcomeSunsetPrimarySchool
#NyakatoKahamShinyanga

02/01/2018

🌟。❤。😉。🍀
。✨ 。🎉。🌟
✨。\|/。💫
Happy New Year
🌟。/|\。🍻
。🍀。 🍸。🎉。
🌟。 💫。 🎶 💥 2018

Heri ya mwaka mpya 2018🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Jumatatu tarehe 8 January 2018 tunarudi tena kwenye kisima cha elimu iliyo bora #SunsetPrimarySchool,
Tunawakaribisha wazazi, walezi, ndg, jamaa na marafiki popote mlipo :
Tunawaomba wazazi na walezi wote mje na watoto kuanzia January 8, 2018 na tunaanza masomo mapema zaidi ili kuwaweka sawa kwa ajili ya mitihani mingi inayokuja :
©©Tunawapenda sana na kila la kheri katika maandilizi yenu :
#SunsetPrimarySchool

05/12/2017

Sunset pre & primary school

Inawezekana umehangaika mda mrefu kutafuta shule ambayo itamfanya mwanao ajifunze ktk mazingira rafiki, na apate huduma zote za msingi Kwa mtoto....
~~~Jibu ni moja tu #SunsetPrimarySchool
√Usafiri wa kuaminika kila siku( Wanafunzi wa day
√ Vyumba vya kujifunzia vyenye nafasi ya kutosha
√Chakula :
™7:00...Chai
10:00..Uji
12:30...Chakula cha mchana
6:00....Chakula cha jion
8:00...Chai ( baada ya masomo jioni)
Ahsante Kazi kwako
Karibu :
Call 0767060884

05/12/2017

Inawezekana umehangaika mda mrefu kutafuta shule ambayo itamfanya mwanao ajifunze ktk mazingira rafiki, na apate huduma zote za msingi Kwa mtoto....
~~~Jibu ni moja tu #SunsetPrimarySchool
√Usafiri wa kuaminika kila siku( Wanafunzi wa day
√ Vyumba vya kujifunzia vyenye nafasi ya kutosha
√Chakula :
™7:00...Chai
10:00..Uji
12:30...Chakula cha mchana
6:00....Chakula cha jion
8:00...Chai ( baada ya masomo jioni)
Ahsante Kazi kwako
Karibu :
Call 0767060884

Videos (show all)

Wanafunzi wa sunset wakielekea shuleni wakiwa na flaha
Wanafunzi wa sunset wakielekea shuleni wakiwa na flaha

Location

Category

Telephone

Address

Kahama
Kahama
SHINYANGA

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
Tuesday 00:00 - 23:59
Wednesday 00:00 - 23:59
Thursday 00:00 - 23:59
Friday 00:00 - 23:59
Saturday 00:00 - 23:59
Sunday 00:00 - 23:59
Other Education in Kahama (show all)
Kahama college of health sciences Kahama college of health sciences
P.o Box 424
Kahama

Ni chuo kinachotoa mafunzo ya sayansi za afya na jamii.