15/11/2025
Taarifa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ni kuwa wataripoti Jumatatu ya tarehe 17 Novemba, 2025 ikifuatiwa na zoezi la orientation hadi Ijumaa ya tarehe 21 Novemba, 2025.
Wanafunzi wanaoendelea wanatakiwa kuripoti Jumatatu ya tarehe 24 Novemba, 2025 na Jumanne ya tarehe 25 Novemba, 2025 tutaanza block study.
Karibu Chuo cha Afya Mafinga.