09/08/2014
TANGAZO KWA MWAKA WA TATU WOTE
Tunawakumbusha Kuendelea kutoa michango yenu ya vyeti pamoja na ada za uanachama wa (IBEA) kwa wale wanaodaiwa. Ada ni Tsh. 5000 kwa mwaka na cheti ni Tsh. 3000. tafadhali wasilisha jina na mchango wako haraka iwezekanavyo kwa Treasurer, Makala Lumbaeli Tel: 0714702089 au kwa
mawasiliano zaidi President-0757085378