NESA Vocational Training Centre

NESA Vocational Training Centre Chuo kime sajiliwa kwa namba VET/IRA/PR/2018/C/098
TUNA TOA MAFUNZO YA KOMPYUTA KWA MUDA MFUPI KUAN

23/03/2026

Mafunzo ya Udereva kwa vitendo yakiendelea NESA Vocational Training Centre
Karibu sana
0753650428

28/02/2026

Karibu Nesa Driving School kwa mafunzo ya Udereva

Iringa bila ajali inawezekana

Karibu Nesa Driving School kwa mafunzo ya UderevaIringa bila ajali inawezekana
28/02/2026

Karibu Nesa Driving School kwa mafunzo ya Udereva

Iringa bila ajali inawezekana

Makosa yetu mengine hutokana na woga, Woga wa kujizuia kumlaumu mkubwa japo tuna jua kakosea, au woga wa kumtetea mdogo ...
14/10/2025

Makosa yetu mengine hutokana na woga, Woga wa kujizuia kumlaumu mkubwa japo tuna jua kakosea, au woga wa kumtetea mdogo anaelaumiwa na mkubwa japo hana kosa.

Happy Nyerere Day

21/08/2025

Uhumimu wa kupata mafunzo ya usalama barabarani

*RTO MTUI AFANYA UKAGUZI KATIKA CHUO CHA UDEREVA (NESA) -MUFINDI* πŸ“Œ *CHATAJWA KUWA CHUO KINARA MUFINDI* πŸ“Œ *UNASUBIRI NIN...
23/07/2025

*RTO MTUI AFANYA UKAGUZI KATIKA CHUO CHA UDEREVA (NESA) -MUFINDI*

πŸ“Œ *CHATAJWA KUWA CHUO KINARA MUFINDI*

πŸ“Œ *UNASUBIRI NINI JIUNGE NA NESA SASA*

_Na Man Kay Anton_

MKUU wa Usalama barabarani Mkoa wa Iringa, Mrakibu wa Polisi *SP Glory Mtui (RTO* ) amefanya ukaguzi Maalum katika Chuo Cha mafunzo ya Udereva (NESA DRIVING SCHOOL) kilichopo Wilayani Mufindi Mkoa Iringa leo Julai 23, 2025 kwa lengo la kuona namna ya mafunzo yanavyotolewa kwa Wanafunzi wa Udereva.

Akiwa Chuoni hapo RTO Mtui Baada ya tathmini ya kina, Nesa Driving School imetajwa kuwa chuo pekee Wilayani Mufindi kilichokidhi vigezo rasmi vya kutoa mafunzo ya awali ya udereva kwa ubora unaotakiwa na mamlaka husika.

βœ… Walimu wenye uzoefu na leseni halali
βœ… Madarasa ya kisasa yenye vifaa vya kujifunzia
βœ… Mafunzo ya nadharia na vitendo kwa usawa
βœ… Ufuatiliaji wa kitaalamu kwa kila mwanafunzi

--------------------------------------------- *STUKA SASA*

🎯 Unasubiri nini? Jiunge na Nesa Driving School leo!
Pata maarifa sahihi, leseni halali, na ujiandae kuwa dereva bora na mwenye nidhamu barabarani.

πŸ“ Tunapatikana Mufindi – Chuo kilichothibitishwa rasmi na mamlaka za serikali.
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa usajili na maelezo zaidi: [0753650428 ]

--------------------------------------------- *MAFUNZO SAHIHI*

NESA DRIVING SCHOOL – Mafunzo Sahihi, Usalama Barabarani Kwanza! 🚘

Address

107
Iringa
51000

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:00
Tuesday 07:30 - 18:00
Wednesday 07:30 - 18:00
Thursday 07:30 - 18:00
Friday 07:30 - 18:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NESA Vocational Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to NESA Vocational Training Centre:

Shortcuts

Share

Category