Habari Kwanza

Habari Kwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Habari Kwanza, Dar es salaam, Iringa.

22/04/2026

Diamond Platnumz ameshare video hii kupitia instagram yake…

“Mwanza tutaanzia Kamwambie hadi Ikweji, tucheze na kuimba pamoja hadi Asubuhi...it’s been a long time Nimewamiss and am super Exited....!

Warming up for My Retro Tour, We start in Mwanza this Saturday 25th April 2026, See you in Your City!”

Hebu ngoja kwanza, huyu ndiye Chibu Dangote wanayesema hajui kuimba LIVE!?

22/04/2026

Video hii inawaonesha Mama Chanja na Asma ambao kimsingi wanajulikana k**a wasanii wa stand-up comedy, lakini safari hii wameingia studio na kuja na kitu tofauti kabisa. Wameachia video clip wakiwa wanachana kwa mtindo wa hip hop, kitu ambacho wengi hawakukitegemea kutoka kwao.

Kilichozua mjadala zaidi si tu kujaribu kufanya hiphop, bali namna walivyotumia mashairi yao ‘kuwachana’ moja kwa moja watu waliowahi kuhusishwa nao katika bifu za mitandaoni.
Kuna hisia za ukweli ndani yake, k**a vile wanatumia muziki kusema yale ambayo labda walishindwa kuyasema jukwaani au kwenye maisha ya kawaida.

Wengine wanaona huu ni ubunifu na ujasiri wa kufanya kitu kipya nje ya walivyozoeleka, wakati wengine wanahoji k**a mstari kati ya burudani na personal attacks umevukwa, lakini ukweli ni kwamba kuachiwa kwa video yao kumefanikiwa kutikisa mitandao ya kijamii

Vipi, waachie album kabisa au waendelee na ‘ukomledia’ k**a anavyosema Dotto Magari?

Address

Dar Es Salaam
Iringa
00255

Telephone

+255743802615

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Habari Kwanza:

Shortcuts

Share