19/08/2016
iringa drivng school ni tunafundisha mafunzo ya udereva kwa muda wa mwezi mmoja,wiki moja utakuwa darasani kujifunza sheria za barabarani na kuijua kiufupi mifumo ya injini na wiki tatu zilizo baki utakuwa kwenye gari kujifunza kuendesha gari,ukimaliza unapata cheti lakini pia tutakusaidia kwenye ufuatiliaji wa leseni gharama zetu ni nafuu sana kwa mawasiliano zaid tutafute kwa namba 0754657941,0715657941,0653715735