Consolata Iringa Secondary School

Consolata Iringa Secondary School A school where the performance of a student is guaranteed.

18/10/2025

I got over 100 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

11/10/2025

Hawa ni wanafunzi kutoka idara ya biashara nao pia wakionesha umahiri wao juu ya masuala ya "masoko" mbele ya mgeni rasmi pamoja na wazazi na walezi walio hudhuria mahafali ya 16 ya kidato cha nne iliyofanyika tar 10/10/2025

11/10/2025
Baadhi ya matukio yaliyojiri katika sherehe ya mahafali ya 16 ya shule yetu,,,baadhi ya wanafunzi wanao maliza kidato ch...
11/10/2025

Baadhi ya matukio yaliyojiri katika sherehe ya mahafali ya 16 ya shule yetu,,,baadhi ya wanafunzi wanao maliza kidato cha nne wakizawadiwa kwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya ndani na nje shule bila kuwasahau wale wa vidato vingine ambao nao wamekua wakifanya vizuri kwenye mitihani ya shule kwa kupata DIV I.7
Wazazi na walezi nyoote mnakaribishwa kuleta watoto wenu ili wapate elimu iliyo bora.

Nyoote mnakaribishwaa
16/06/2025

Nyoote mnakaribishwaa

"Consolata iringa secondary school is a way to advance level" that is what we mean.
23/01/2025

"Consolata iringa secondary school is a way to advance level" that is what we mean.

Always our struggle is to make sure we provide your children with the best.Ni jitihada zetu kila mara kuhakikisha tunamp...
04/01/2025

Always our struggle is to make sure we provide your children with the best.

Ni jitihada zetu kila mara kuhakikisha tunampa mwanao kilicho bora.
Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza na kuhamia kwa kidato cha tatu bado zipo chache.
NYOOTE MNAKARIBISHWA.

"CONSOLATA IRINGA SECONDARY IS A WAY TO ADVANCE LEVEL."

Wanafunzi wa idara ya sayansi nao wakionesha onesho la namna ya kutengeneza sabuni mbele ya mgeni rasmi katika mahafali ...
14/10/2024

Wanafunzi wa idara ya sayansi nao wakionesha onesho la namna ya kutengeneza sabuni mbele ya mgeni rasmi katika mahafali ya 15 ya kidato cha nne.

Wanafunzi wa idara ya biashara wakionesha onesho lao linalohusu njia za malipo na hapo wakizungumzia hundi (cheque) mbel...
14/10/2024

Wanafunzi wa idara ya biashara wakionesha onesho lao linalohusu njia za malipo na hapo wakizungumzia hundi (cheque) mbele ya mgeni rasmi katika mahafali ya 15 ya kidato cha nne.

12/10/2024

Hata vijana wa zamani nao walikumbukwa kwenye mahafali ya 15 ya kidato cha nne

Address

Isakalilo
Iringa
P.O.BOX1185

Telephone

+255717245568

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Consolata Iringa Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Consolata Iringa Secondary School:

Shortcuts

Share

Category