18/06/2023
💥BREAKING NEWS 💥
Chuo Kikuu cha Iringa Kimefungua Dirisha la Maombi ya Kujiunga na Masomo kwa ngazi za CERTIFICATE, DIPLOMA, DEGREE & POST GRADUATE kwa mwaka 2023-2024.
Kujiunga Ni Rahisi na Haraka, Tembelea 👉🏾 olas.uoi.ac.tz
Kwa Msaada wa Haraka Tupigie Simu:
0743802615 | 0716183765 | 0745841055 | 0677048774