Miso secondary

Miso secondary Tunatoa elimu kuanzia pre-primary hadi form four, shule ipo iringa, shule ni ya kutwa na bweni 0763357184

"Kutengeneza tovuti zenye ubora wa hali ya juu ili kukuza biashara yako! Wasiliana nasi kupitia namba yetu ya ofisi 0744...
25/05/2023

"Kutengeneza tovuti zenye ubora wa hali ya juu ili kukuza biashara yako! Wasiliana nasi kupitia namba yetu ya ofisi 0744155560. Woom Live IT Solution - Wataalamu wa suluhisho za kiteknolojia."

Karibuni wateja zetu +255744155560
09/05/2023

Karibuni wateja zetu +255744155560

Je unataka kutangaza biashara yako katika mitandao yako yote ya kijamii kwa wakati mmoja bila kutumia gharama yeyote ?tu...
08/05/2023

Je unataka kutangaza biashara yako katika mitandao yako yote ya kijamii kwa wakati mmoja bila kutumia gharama yeyote ?
tupigie
+255744155560
🔥 🔥💪🏼

17/08/2022

Karibu misso sekondary school Shule ya sekondari Miso
Namba ya usajili 5101
Namba ya kituo cha mtihani 5723
Shule ipo Mafinga karibu na JKT Mtaa wa luganga barabara ya Mafinga mgororo.
Shule ina mazingira mazuri.
Miundo mbinu yote ipo vizuri.
Taaluma safi .
Walimu wa kutosha wa masomo yote.
Sayansi na arts.pia tunatoa somo la computer bure.
Pia kwa wale wanaorudi mitihani hapa tuna kituo pamoja na QT ada zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu tatu hadi nne.
Shule unafuka ambalo vifaa vyote vinapatikana.
Pia kituo cha afya kipo mita 200 tu kutoa shuleni.wote tuna wakaribisha

tupigie 0763357184

Shule ya sekondari Miso Namba ya usajili 5101Namba ya kituo cha mtihani 5723Shule ipo Mafinga karibu na JKT Mtaa wa luga...
17/08/2022

Shule ya sekondari Miso
Namba ya usajili 5101
Namba ya kituo cha mtihani 5723
Shule ipo Mafinga karibu na JKT Mtaa wa luganga barabara ya Mafinga mgororo.
Shule ina mazingira mazuri.
Miundo mbinu yote ipo vizuri.
Taaluma safi .
Walimu wa kutosha wa masomo yote.
Sayansi na arts.pia tunatoa somo la computer bure.
Pia kwa wale wanaorudi mitihani hapa tuna kituo pamoja na QT.Ada zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu tatu hadi nne.
Shule unafuka ambalo vifaa vyote vinapatikana.
Pia kituo cha afya kipo mita 200 tu kutoa shuleni.wote tuna wakaribisha

wasiliana nasi

0763357184

miso secondary iliyopo iringa Tanzania ina watangazia watangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza na wanao amia ki...
16/08/2022

miso secondary iliyopo iringa Tanzania ina watangazia watangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza na wanao amia kidato cha tatu, shule ni ya kutwa na bweni ada zetu ni nafuu sana 0763357184

Address

Iringa
Iringa
00000

Telephone

+255763357184

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miso secondary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category