St.John Paul II Secondary School

St.John Paul II Secondary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from St.John Paul II Secondary School, School, Iringa.

Challenge yourself, Challenge your kid.Andika jibu lako hapo chini kwenye Comment.Nafasi za kujiunga na shule yetu kwa k...
05/07/2023

Challenge yourself, Challenge your kid.

Andika jibu lako hapo chini kwenye Comment.

Nafasi za kujiunga na shule yetu kwa kidato cha keanza kwa mwaka wa masomo 2024 bado zipo wazi. Ingia kwenye tovuti yetu ya shule upakue fomu ya maombi.
KARIBU

Vijana wamerejea kutoka likizo ndefu. Kazi ya kuwaandaa inaendelea.Ewe mzazi mwenye kijana Darasa la saba, unakaribishwa...
04/07/2023

Vijana wamerejea kutoka likizo ndefu. Kazi ya kuwaandaa inaendelea.
Ewe mzazi mwenye kijana Darasa la saba, unakaribishwa kumleta mwanao ajiunge na shule yetu.
Shule yetu inamilikiwa na Masista wa Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki Iringa.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu ya shule (Ipo kwenye Bio)
KARIBU SANA.

Amizing Beautiful Girls at school. Are enjoying School life.Mlete mwanao ajiunge na shule yetu. Nafasi za kujiunga na ki...
28/06/2023

Amizing Beautiful Girls at school. Are enjoying School life.

Mlete mwanao ajiunge na shule yetu. Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2024 zipo. Tembelea website yetu kupata fomu ya kujiunga. Au wasiliana na Mkuu wa shule kupitia namba za simu zilizopo kwenye Profile yetu au website yetu ya shule.

Ukiona wanafunzi wana furaha muda wote, basi tambua sehemu walipo ni salama na sahihi kwao.Tunawalea kiroho, kimwili na ...
23/06/2023

Ukiona wanafunzi wana furaha muda wote, basi tambua sehemu walipo ni salama na sahihi kwao.

Tunawalea kiroho, kimwili na kuwajenga kiakili kwa ajili ya kesho yao Bora.

Tunawahakikishia ULINZI na USALAMA wao muda wote. Mzazi mwenye kijana shuleni kwetu uwe na AMANI popote ulipo, kwani kijana wako yupo Sehemu salama na sahihi.

Ewe mzazi mwenye kijana anayetarajia kujiunga na elimu ya sekondari kwa kidato cha kwanza mlete sasa ajiandikishe kwa ajili ya USAHILI.

Karibuni sana St. John Paul II Secondary School.

Our Beautiful students in Lab Coats ๐Ÿ˜Karibu umlete mwanao.
23/06/2023

Our Beautiful students in Lab Coats ๐Ÿ˜

Karibu umlete mwanao.

Shule Bora Nyanda za juu Kusini na Tanzania.Shule inayomilikiwa na Masista wa Mt. John Paul II - Katoliki.Maadili, Elimu...
14/06/2023

Shule Bora Nyanda za juu Kusini na Tanzania.

Shule inayomilikiwa na Masista wa Mt. John Paul II - Katoliki.

Maadili, Elimu Bora na Misingi thabiti ya maisha inaanzia hapa.

MLETE KIJANA WAKO AJIUNGE na shule yetu.

Tunawajenga zaidi wanafunzi wetu na walimu katika mfumo wa elimu shirikishi. Mwalimu hafundishi tu, anapata nafasi ya ku...
10/06/2023

Tunawajenga zaidi wanafunzi wetu na walimu katika mfumo wa elimu shirikishi. Mwalimu hafundishi tu, anapata nafasi ya kupima uelewa wa wanafunzi wake k**a wamemuelewa alichofundisha. Halikadhalika kwa wanafunzi, na wao wanapata nafasi pia ya kuuliza, kuchangia, kudadisi na kushiriki moja kwa moja katika kile kilichofundishwa na mwalimu. Hii inampa kijana ujasiri na morali ya kutafiti na kujifunza zaidi.

Na hii ndiyo Elimu tuitakayo.
Hii ndiyo Elimu halisi ya kushirikisha.
Na huu ndiyo uwasilishaji sahihi wa maarifa kwa wanafunzi.
Na hii ndiyo shule pekee yenye kuzingatia mfumo huu thabiti ๐Ÿ˜€.

Mlete kijana wako shule ya Mt. Yohane wa Pili (St. John Paul II Secondary School)

Fomu ya kujiunga inapatikana kwenye tovuti ya chuo.

KARIBUNI SANA.

Shule yetu inaamini zaidi katika elimu ya vitendo kuliko nadhalia pekee.Vijana wetu tunawapa muda mwingi zaidi kujifunza...
05/06/2023

Shule yetu inaamini zaidi katika elimu ya vitendo kuliko nadhalia pekee.
Vijana wetu tunawapa muda mwingi zaidi kujifunza kwa vitendo kwenye maabara zetu.

ST. JOHN PAUL II Sec. School ndiyo sehemu pekee Bora kumleta mwanao kwa Elimu Bora ya Sekondari (Kidato cha I mpaka cha IV)

Fomu za kuomba nafasi ya kidato cha I kwa mwaka wa masomo 2023/24 zinapatikana kwenye tovuti yetu ya shule.

KARIBU

It's weekend. Our boys and Girls are so happy being here.Mtoto akiwa na furaha, ustawi wa afya ya akili, mwili na roho v...
03/06/2023

It's weekend. Our boys and Girls are so happy being here.

Mtoto akiwa na furaha, ustawi wa afya ya akili, mwili na roho vinashamiri.

Sisi ni kiota cha kuandaa ma Engineers, Doctors na wataalam mbalimbali wa siku zijazo. Tunawaandaa vijana elimu ya viten...
02/06/2023

Sisi ni kiota cha kuandaa ma Engineers, Doctors na wataalam mbalimbali wa siku zijazo. Tunawaandaa vijana elimu ya vitendo zaidi.

Kesho ya vijana wetu ni bora sana.



Sura zenye tabasam ๐Ÿ˜Š. Fomu za kuomba kujiunga na shule kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014 inapatikana kweny...
01/06/2023

Sura zenye tabasam ๐Ÿ˜Š. Fomu za kuomba kujiunga na shule kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014 inapatikana kwenye Tovuti yetu ya shule.

Maana halisi ya kiongozi Bora. Mkuu wetu wa shule (Sister) tunakushukuru kwa kuwa Boss bora, kiongozi thabiti, mlezi, ra...
01/06/2023

Maana halisi ya kiongozi Bora. Mkuu wetu wa shule (Sister) tunakushukuru kwa kuwa Boss bora, kiongozi thabiti, mlezi, rafiki, mama na msimamizi wa walimu, wafanyakazi na wanafunzi wote. TUNAKUPENDA SANA. โ˜บ๐Ÿ’“

Address

Iringa
M30 0

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St.John Paul II Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category