Nangwo-Namnyaki sec school

Nangwo-Namnyaki sec school page hii Ni kwaajiri ya shule yetu ya Namnyaki

Karibuni Sana Mahafali kidato cha nne. Mgeni rasmi ni Mheshimiwa Patrick Ole Sosopi
13/10/2025

Karibuni Sana Mahafali kidato cha nne.
Mgeni rasmi ni Mheshimiwa Patrick Ole Sosopi

15/10/2024

Ujumbe kutoka watoto wetu.

15/10/2024

Namnyaki ni Raha kabisa. Karibuni sana

Graduation πŸŽ“πŸŽ“πŸŽ“πŸŽ“ Namnyaki sekondari, Tunawakaribisha watu wote kuja kusoma elimu ya kidato cha kwanza Hadi nne shuleni kw...
15/10/2024

Graduation πŸŽ“πŸŽ“πŸŽ“πŸŽ“ Namnyaki sekondari, Tunawakaribisha watu wote kuja kusoma elimu ya kidato cha kwanza Hadi nne shuleni kwetu.

Namgwo_namnyakiorg
12/03/2023

Namgwo_namnyakiorg

Soma jumbe kutoka wanafunzi wa sekondari Namnyaki. Karibu support shule hii watoto wapate kutimiza ndoto zao mawasiliano...
12/03/2023

Soma jumbe kutoka wanafunzi wa sekondari Namnyaki. Karibu support shule hii watoto wapate kutimiza ndoto zao mawasiliano fuata kwenye bio/ona kitufe kinachoelekeza WhatsApp.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Namnyaki wakiwa ukumbini wakishiriki semini siku ya wanawake duniani 08/03/2023.
12/03/2023

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Namnyaki wakiwa ukumbini wakishiriki semini siku ya wanawake duniani 08/03/2023.

Shule ya Namnyaki inawatangazia wanafunzi na wazazi/walezi kuwa shule yetu imeanza kupokea watoto wa pre form one ili ku...
04/12/2022

Shule ya Namnyaki inawatangazia wanafunzi na wazazi/walezi kuwa shule yetu imeanza kupokea watoto wa pre form one ili kuandaliwa kuendelea na masomo ya maandalizi ya kidato cha kwanza.

Karibuni sana
Imetolewa na katibu mkuu.

Katibu wetu ndg. Sekemi Ole Sandoni ameshiriki kikao cha kuandaa mango kazi wa UPR Jijini Dar es salaam. Mgeni rasimi ni...
18/05/2022

Katibu wetu ndg. Sekemi Ole Sandoni ameshiriki kikao cha kuandaa mango kazi wa UPR Jijini Dar es salaam. Mgeni rasimi ni Mh. Damas Ndumbalo waziri wa katiba na sheria. Cc Watetezitv

27/12/2021

Nipende kuwakaribisha sana wazazi wote kuwaleta watoto Shule ya wasichana ya Sekondari Namnyaki, tumeanza kupokea watoto vidato vyote. Karibu kuchukua fomu kwaajiri ya kujiunga.

Ada yetu ni nafuu sana na unalipa Ada Nusu kiasi cha shiling 600,000/= na Nusu nyingine inalipwa na Shirika letu la Namgwo_namnyakiorg kushirikiana na wafadhili tulionao.

KARIBUNI SANA.
BY Sekemi Ole Sandoni Katibu wa shirika na shule Namnyaki.

Pre form one 40 wakiendelea na masomo shuleni Namnyaki Sekondari , karibu kumleta mtoto Kwa Elimu bora , make Namnyaki S...
01/11/2021

Pre form one 40 wakiendelea na masomo shuleni Namnyaki Sekondari , karibu kumleta mtoto Kwa Elimu bora , make Namnyaki Secondary School great again!

Address

Iringa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 23:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nangwo-Namnyaki sec school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Nangwo-Namnyaki sec school:

Shortcuts

Share

Category