ST. Thomas Nyabula Pre and Primary School

ST. Thomas Nyabula Pre and Primary School Shule bora kwa malezi bora ya mtoto, nia yetu ni huhudumia jamii ya watanzania Kiroho, Kimwili Na Ki

07/01/2023

Education for bright future your most wellcome

Uongozi wa shule ya St. Thomas Nyabula Pre amd Primary School unawakaribisheni tena shuleni watoto wetu.
04/09/2022

Uongozi wa shule ya St. Thomas Nyabula Pre amd Primary School unawakaribisheni tena shuleni watoto wetu.

Kipaumbele chetu ni elimu nzuri kwa mtoto kwa maisha yake ya badae karibuni st Thomas pre and primary  school Nyabula mu...
07/07/2022

Kipaumbele chetu ni elimu nzuri kwa mtoto kwa maisha yake ya badae karibuni st Thomas pre and primary school Nyabula muwalete watoto wenu waweze kupata mafanikio asante

St Thomas pre and primary school  Nyabula nawakaribisheni katika shule  kwa mwaka wa masomo 2023 shule ina mazingira maz...
05/07/2022

St Thomas pre and primary school Nyabula nawakaribisheni katika shule kwa mwaka wa masomo 2023 shule ina mazingira mazuri yatakayomwezesha mtoto apate elimu bora

St Thomas pre and primary school Nyabula inawakaribisha ndugu wazazi kuwaleta watoto wenu ili waweze  kupata Elimu iliyo...
04/07/2022

St Thomas pre and primary school Nyabula inawakaribisha ndugu wazazi kuwaleta watoto wenu ili waweze kupata Elimu iliyo bora kwa maisha yao ya baadae kwa mwaka wa masomo 2023 shule yetu ni ya kutwa kuna usafiri unaowabeba watoto kuwapeleka shuleni

Shule ya St Thomas Nyabula Pre and Primary School inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2023. Ewe mzazi mkazi wa Iringa,...
30/06/2022

Shule ya St Thomas Nyabula Pre and Primary School inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2023. Ewe mzazi mkazi wa Iringa, mlete mwanao shuleni kwetu ili apate malezi na elimu bora. Shule ni ya kutwa, ambapo mtoto anapata huduma ya usafiri kwenda na kurudi shuleni.

Shule ya St. Thomas Nyabula Pre and Primary School, inapenda kuwatangazia nafasi za masomo. Ili kupata taarifa na utarat...
24/05/2022

Shule ya St. Thomas Nyabula Pre and Primary School, inapenda kuwatangazia nafasi za masomo. Ili kupata taarifa na utaratibu wa kujiunga wasilana na kwa WhatsApp kupitia makala hii.

Address

Nyabula, Luhota
Iringa

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:00

Telephone

+255768396957

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ST. Thomas Nyabula Pre and Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category