Benjamin Broadcasting Corporation

Benjamin Broadcasting Corporation

Comments

Help me to get a job as a Journalist Thnks.

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Benjamin Broadcasting Corporation, School, Ilala.

18/07/2015

#TeamBBC wishes you all Eid mubarack.

18/06/2015

#TeamBBC.

[06/17/15]   Ikiwa hapo kesho mfungo wa mwezi wa Ramadhani unaanza rasmi.
Team BBC yawatakia waislamu wote popote pale walipo #RAMADHAN #KAREEM.

[05/25/15]   Mitihani ya mock kwa wanafunzi wa kidato cha nne imeanza ikiwa ni siku chache tu wametoka kufanya mitihani ya BRN.

[04/25/15]   BBC inawaalika ndugu, jamaa pamoja na marafiki wote, katika mahafali ya kidato cha sita yatakayofanyika tarehe 29.04.2015 katika viwanja vya shule ya sekondari Benjamin Mkapa........ Wote mnakaribishwa....

[12/27/14]   zimebaki siku nne kuelekea kuumaliza mwaka 2014. je, umejiandaa vipi kuukaribisha mwaka 2015?

25/12/2014

Merry Christmass and happy newyear

[12/22/14]   SAKATA LA ESCROW:
Katika sakata la ESCROW..Raisi Kikwete amwajibisha Waziri wa ardhi Mhe.Tibaijuka..kutokana na kuhusika na sakata hilo na kuwa huo ni ukikwaji wa kimaadili ya utumishi wa umma..Huku akimweka kiporo waziri wa Nishati na madini Mhe.Muhongo kwa madai ya kuwa uchunguzi bado unaendelea...
For more updates keep up with us #teamBBC.

[12/22/14]   UCHAGUZI:
Uchaguzi wa serikali za mitaa japo na kukumbwa kwa misuko suko mingi mwisho kufikia ukingoni..huku chama cha CCM..kikiibuka na ushindi kwa asilimia 70..
For more updates keep up with us ..#teamBBC.

[11/29/14]   BUNGENI:Hatimaye bunge lafikia muafaka wa kuwawajibisha waliotuhumiwa kuhusika na sakata la ESCROW ikiwemo...
katibu mkuu wa nishati na madini-Pro.Muhongo...
waziri wa ardhi-Pro.Anna Tibaijuka na bodi(board) ya TANESCO..
For more information..keep up with us #teamBBC.

29/11/2014

FUNGUKA:Tumia mamlaka yako kuzuia ukatili wa kijinsia...

[11/26/14]   BUNGENI:SAKATA LA IPTL..
Kamati ya PAC ikishirikiana na takukuru..yaanika wazi leo bungeni uchafu na madudu yaliyofanywa kuhusiana na fedha zilizoko katika akaunti ya Tegeta ESCROW..
Na bunge lategemea kupokea taarifa kwa upande wa serikali hapo kesho..
For more information keep up with us #teamBBC.

08/11/2014

MISS TANZANIA 2014:
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014..ajiuzulu kutokana na madai ya udanganyifu yaliyokuwa yakimkabili likiwemo la kudanganya umri....
Keep up with us #teamBBC.

[11/02/14]   Best Wishes to all #formIV candidates...
We wish you all the best..believe in yourselves and Do not forget to pray..
You will do better..
#teamBBC.

[10/14/14]   #BBC yawatakieni wote siku njema ya kumbukumbu ya baba wa Taifa..
tumkumbuke kwa ushujaa,uzalendo na tuendeleze yale aliyotuwosia..ili kudumisha amani na umoja wetu..
Have a nice Nyerere Day...

[10/14/14]   #BBC yawatakieni wote siku njema ya kumbukumbu ya baba wa Taifa..
Have a nice Nyerere Day...

[10/08/14]   KATIBA MPYA:
Hatimaye katiba pendekezwa yakabidhiwa kwa mhe.rais Dkt Jakaya Kikwete wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Mhe.rais Dkt.Shein wa Zanzibar huko Dodoma katika uwanja wa jamuhuri...

05/10/2014

Team #BBC wishes you all..
A blessed Eid al hajj..
Eid mubarak...

[10/02/14]   KATIBA MPYA:
Hatimaye rasimu ya katiba mpya kupitishwa baada ya kupatikana kwa akidi sawa baina ya pande zote mbili za muungano yaan Tanzania bara na visiwani(Zanzibar)..
asante kwa kuchagua #teamBBC..

[09/19/14]   Polisi na waandishi wa habari..

mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja polisi na waandishi wa habari yaingia matatani...mara baada ya vurugu baina ya polisi na waandishi wa habari kutokea hapo jana...baada ya waandishi kwenda kwenye kituo cha polisi kupata habari juu ya kukamatwa kiongozi wa chama cha CHADEMA..kwa tuhuma za kuchochea uvunjifu wa amani...ambapo waandishi hao walifukuzwa kwa kupigwa na wengine kukimbizwa na mbwa....Je!huu ndio ushirikiano uliohamasishwa??...#teamBBC.

[09/14/14]   Thanks for choosing our page...
#teamBBC wishes yu a happy sunday.

29/07/2014

Team BBC wishes you a joyous n peaceful Eid Al-fitr
Eid mubarrack to you ol...

[07/25/14]   Hey! Hey! Back 2 school! 2 All form 5s its ur time 2 show us wat u got!

[07/22/14]   Thank yu for choosing our page..
For more news and updates keep up with us #teamBBC.

14/07/2014

FIFA WORLD CUP 2014:
GERMANY WORLD CUP CHAMPIONS 2014:
Dakika ya 114,Mario Gotze aliipatia Ujerumani bao 1-0 dhidi ya Argentina na kuifanya Ujerumani kuibuka na ushindi wa kombe la Dunia mwaka 2014.
Huu ni ubingwa wa 4 baada ya kuchukua kombe mara ya mwisho 1990.
TUZO:
Golikipa bora wa mashindano ya kombe la dunia 2014-Manuel Neuer..Germany
Mchezaji bora wa mashindano ya kombe la dunia 2014-Lionel Messi..Argentina
*Mchezaji chipukizi wa WC-2014-Pogba..Ufaransa
*Bao bora la WC-2014 ni alilofunga James Rodriguez dhidi ya Uruguay.
*Mfungaji bora wa WC-2014
1.James Rodriguez..Colombia
2.Thomas Muller..Germany
3.Neymar Jr..Brazil
#ASANTENI
THANK YOU for choosin #teamBBC.

[07/13/14]   SPORTS:
FIFA WORLD CUP 2014:
GERMANY 1-0 ARGENTINA
Hatimaye mshindi kapatikana ambaye ni GERMANY..
THE FIFA WORLD CHAMPIONS 2014..GERMANY.
For more updates keep up with us #teamBBC.

[07/13/14]   SPORTS:
FIFA WORLD CUP:
HOLAND 3-0 BRAZIL
Hatimaye mshindi wa tatu kupatikana ambaye ni Holand baada ya kumfunga Brazil akiwa nyumbani.
Na leo ndio finali kati ya Germany na Argentina..
For more updates keep up wit us #teamBBC.

[07/11/14]   SPORTS:
FIFA WORLD CUP 2014:
Brazil yatolewa katika nusu fainali na Germany kwa goli 7-1..
Na Holand yatolewa na Argentina kwa mabao ya penalt.
Hivyo fainaili itakuwa GERMANY vs ARGENTINA.
Na kumpata mshindi wa tatu itakuwa BRAZIL vs HOLAND.
For more updates keep up with us #teamBBC.

[07/06/14]   FIFA WORLD CUP 2014:
Matokeo ya mechi..
ARGENTINA 1-0 BELGIUM
HOLAND 0(4)-0(3) COSTA RICA.
Belgium wametoka na Costa rica pia wametolewa kwa penalt.

[07/05/14]   FIFA WORLD CUP 2014:
Matokeo ya mechi za jana...
GERMANY 1-0 FRANCE
BRAZIL 2-1 COLOMBIA..
France na Colombia wametoka kwenye mashindano hayo..
Na forrward wa Colombia James Rodriguez ametoka akiwa na magoli 6 hivyo alikuwa anaongoza kwa magoli..

[07/01/14]   Matokeo ya mechi za jana:
FRANCE 2-0 NIGERIA
GERMANY 1-0 ALGERIA...
Na safari ya timu za Africa katika mashindano ya kombe la dunia imeishia hapo...
For more updates keep up with us #teamBBC.

[06/30/14]   MATOKEO YA MECHI:
FRANCE 2-0 NIGERIA..
France wamejipatia bao la pili baada ya beki wa Nigeria YOBO kujifunga dakika ya 91..na hivyo kupelekea timu hiyo ya Nigeria kuondolewa kwenye mashindano hayo...na kuiacha Algeria ikiwa ndo timu pekee ya Africa iliyobakia.
Je unadhani Algeria yaweza kuiwakilisha vizuri Africa?
For more updates keep up with us #teamBBC.

[06/28/14]   Habari..
Matokeo ya mechi ..
Brazil kashinda kwa penalt 4-3 na hivyo kuifanya chile kuondolewa kwenye mashindano hayo..
For more updates keep up with us #teamBBC.

28/06/2014

Team BBC wishes all muslims in the world a peacefull RAMADHAN KAREEM..

[06/26/14]   KOMBE LA DUNIA:
Matokeo ya mechi zilizochezwa hii leo ni,
GHANA 1-2 PORTUGAL
USA 0-1 GERMANY.
Ghana yatolewa na hivyo kuifanya Nigeria na Algeria kuwa timu pekee za Afrika zilizobakia katika mashindano hayo..
For more updates keep up with us #teamBBC.

Location

Category

Telephone

Address

Ilala
Other Ilala schools & colleges (show all)
Da Legend of Buyuni Secondary School Da Legend of Buyuni Secondary School
Ilala

GET TO KNOW LEGENDS OF THE SCHOOL

Magnus secondary school Magnus secondary school
Pug Kigogo Fresh
Ilala, 255755081181

5000

New Montesori New Montesori
12232 Dar Es Salaam
Ilala, PEMBA STREET KARIAKOO

chuo kinatoa elimu ya ualimu wa watoto wadogo.ealychildhood education for diploma and Certificates.ada ni nafuu sana.karibu wote kariakoo Dares salaam mtaa wa pemba.