23/03/2026
Ewe Mzazi/Mlezi ilala islamic nursery and primary school inakutangazia nafasi Adhwimu kwa kijana wako kujiunga nasi katika kipindi hiki Cha kukamirisha muhula wa pili ..Mlete mwanao Apate ELIMU Bora na malezi yenye kumpendeza Allah (s.w)....ELIMU Bila malezi Bora sikitu wahi Sasa