01/06/2021
Tumaini Jipya Medical Training College,, Chuo kipo Iringa-Mafinga mjini, kinatoa mafunzo ya udaktari ngazi ya diploma and certificate,, wote mnakaribishwa na Ada zao ni nafuu na Ada inalipwa kwa awamu nne. Kwa mawasiliano zaidi 0757636248/0655700585/0687195832. Tumaini Jipya wanarejesha matumaini ya ndoto zako. Sifa za mwanafunzi kujiunga awe na ufaulu wa Alama D kwa Masomo ya science (physics, chemistry and biology) karibuni Sana!!