Mwalimu Saidi Hayawi

Mwalimu Saidi Hayawi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwalimu Saidi Hayawi, Education Website, Tabora, Igunga.

Kwa jina naitwa Mwalimu Saidi Hayawi, nipo wilaya ya Igunga Mkoani Tabora,Kwa Sasa ni mwalimu mkuu Shule ya Msingi Mwanzugi,
Page hii ni kwa ajili ya taarifa za maendeleo mbalimbali ya shule nilizozihudumia k**a mwalimu mkuu na ninayoihudumia kwa Sasa.

03/05/2026

Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mwanzugi akitoa Tuzo ya Mwalimu Hodari Mwezi April kwa Mwalimu CLEOPA RUBENI MJEMA Katika siku ya kuadhimisha SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI – MEI MOSI,

Mwalimu Mkuui wa Shule ya Msingi Mwanzugi anajivunia kumtunuku tuzo ya:
🌟 MWALIMU HODARI WA MWEZI APRIL 🌟

Tuzo hii imetolewa kwa kutambua:
βœ” Ufundishaji bora na maandalizi madhubuti ya vipindi
βœ” Ubunifu katika mbinu za kufundishia
βœ” Nidhamu na uwajibikaji wa hali ya juu
βœ” Ushirikiano mzuri na wanafunzi, wazazi na walimu wenzake
βœ” Mchango mkubwa katika kuinua taaluma na maadili shuleni

πŸ‘ Tunampongeza kwa juhudi, moyo wa kujituma na uzalendo kazini.
Ameendelea kuonesha kuwa ualimu ni wito na dhamira ya dhati.

πŸŽ– Hongera sana kwa kuwa mfano bora katika jamii ya walimu!

23/04/2026

Mwalimu mkuu wa shule ya Msingi mwanzugi atembelea nyumbani kwa mwanafunzi aliechaguliwa kuwa mwanafunzi Bora wa mwezi Machi FROLENCIA DANIEL anaishi na bibi yake na kuzungumza mawili matatu juu ya maendeleo ya mwanafunzi huyo

22/04/2026

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwanzugi akitoa tuzo kwa mwalimu hodari wa mwezi Machi na akimkabidhi Tuzo na pesa shilingi elf kumi
Anafanya hivi ili kuwapa tabasamu walimu waweze kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili kukuza nidhamu,taaluma na kuifanya shule iwe bora

22/04/2026

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwanzugi akitoa tuzo kwa mwanafunzi hodari wa mwezi Machi na akimkabidhi Tuzo na pesa shilingi elf tano
Anafanya hivi ili kuwapa tabasamu wanafunzi waweze kujituma na kusoma kwa bidii kufikia ndoto zao

πŸ“Œ *TUANGALIE MODULI YA SCHOOL PROFILE KWENYE SIS APP* ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━Kuna moduli ya kujaza taarifa zifuatazo:1️⃣ ...
08/04/2026

πŸ“Œ *TUANGALIE MODULI YA SCHOOL PROFILE KWENYE SIS APP*
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
Kuna moduli ya kujaza taarifa zifuatazo:
1️⃣ Tarehe ya usajili
2️⃣ Aina ya shule kwa malazi
3️⃣ Aina ya shule kwa jinsi
4️⃣ Eneo la shule limepimwa

*πŸ“Moduli hii sasa imewekwa kwenye SIS App, hivyo unatakiwa kuingia kwenye App na kujaza taarifa hizo.*

━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
πŸ“² *NAMNA YA KUINGIA KWENYE SIS APP*
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
*Fuata hatua zifuatazo:*
πŸ”Ή Nenda Play Store kisha download App ya SIS.
πŸ”Ή Baada ya kudownload, fungua App hiyo kwenye menu ya simu yako.
πŸ”Ή Log in kwa kutumia username na password unayotumia kwenye mfumo wa SIS.
πŸ”Ή Baada ya kuingia, nenda upande wa juu kushoto utaona alama ya mistari mitatu (≑).
πŸ”Ή Bonyeza hapo, kisha chagua moduli ya School Profile.
πŸ”Ή Ifungue, utaona sehemu zifuatazo:
β–ͺ Summary
β–ͺ School Information
β–ͺ Program
β–ͺ Current Coordinates
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
πŸ“‚ *HATUA YA UJAZAJI*
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
πŸ”Έ 1️⃣ Summary
β–ͺ Bonyeza sehemu iliyoandikwa Edit.
β–ͺ Itafunguka na utaona vitufe vifuatavyo:
β–« Contact
β–« School information
β–« Adult Centers
β–« Satellite Centers
πŸ‘‰ Bonyeza kila kitufe kimoja baada ya kingine na ujaze taarifa sahihi kulingana na shule yako.
⚠ Hakikisha taarifa unazojaza ni sahihi na kamili kabla ya kuhifadhi.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

πŸ“’ K**a bado hujajiunga na chanel hii, jiunge kwa kubonyeza link hapo chini.
Follow the MWALIMU JIPE FURAHA channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaO6AM28vd1M6k5CSr0V

πŸ” Share taarifa hii kwa wengine ili nao waweze kupata ufafanuzi sahihi kuhusu mifumo.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

✍ Imeandaliwa na:
*Mwalimu Munene*
πŸ“ž 0753576431

🌟 *Mwalimu JIpe Furaha*

27/03/2026

Anaitwa Maimuna Juma ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanzugi aliepitia Darasa la MEMKWA akieleza kwa ufupi safari yake ya kielimu mpaka Sasa anasoma darasa la saba Kwa kuwashukuru Shirika la UNICEF

25/03/2026
πŸ“’ TUANGALIE MFUMO WA SIS πŸ“’K**a hauujui, basi huu ni wakati sahihi wa kuujua πŸ‘‡πŸ“² Mfumo wa SIS una App yake kwenye Google P...
22/03/2026

πŸ“’ TUANGALIE MFUMO WA SIS πŸ“’

K**a hauujui, basi huu ni wakati sahihi wa kuujua πŸ‘‡

πŸ“² Mfumo wa SIS una App yake kwenye Google Play Store

πŸ‘‰ K**a bado hujaidownload, pakua sasa kwani itakusaidia wewe na walimu wenzako kwa mambo yafuatayo:
βœ… Kuita majina ya wanafunzi kwa urahisi
βœ… Kujaza taarifa mbalimbali (vitabu, majengo n.k.) kwa urahisi
βœ… Kutumia mfumo kwa urahisi zaidi ukilinganisha na website
βœ… Mfumo unafanya kazi kwa haraka zaidi kupitia App

πŸ“₯ Jinsi ya kuipata App:
Nenda kwenye Google Play Store
Tafuta: SIS Tanzania
Pakua (Download) App
Fungua kisha Log in
App itavuta taarifa zako zote moja kwa moja

⚠️ NB:
Kwa wakuu wa shule au wale wanaofanya setup mbalimbali, utahitaji kutumia website.
Lakini kwa matumizi ya kawaida ya kila siku, App ya SIS inatosha kabisa πŸ‘

πŸ“’ SHARE ujumbe huu kwa walimu wa staff yako ili nao wafurahie urahisi wa kutumia mfumo wa SIS

πŸ”” Kupata taarifa mbalimbali za mifumo, follow chaneli hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaO6AM28vd1M6k5CSr0V

✍️ Imeandaliwa na:
Mwalimu Munene
πŸ“ž 0753 576 431
🌟 Mwalimu JIpe Furaha 🌟

πŸ“’ TAARIFA MUHIMU: UPIGAJI PICHA KWENYE APP YA PREM πŸ“ΈWalimu wengi wamekuwa wakiuliza:❓ Kwa nini nikitaka kupiga picha, wa...
22/03/2026

πŸ“’ TAARIFA MUHIMU: UPIGAJI PICHA KWENYE APP YA PREM πŸ“Έ

Walimu wengi wamekuwa wakiuliza:
❓ Kwa nini nikitaka kupiga picha, wanatokea wanafunzi wa mwaka jana (Darasa la Saba 2025)?

βœ… USIJALI – HILI NDIO SULUHISHO:

Fuata hatua hizi kwa makini:
1️⃣ Nenda kwenye Settings za simu yako
2️⃣ Fungua sehemu ya Apps & Notifications
3️⃣ Tafuta na fungua Prem App
4️⃣ Bonyeza Storage & Cache
5️⃣ Kisha fanya yafuatayo:
πŸ”Ή Bonyeza Clear Cache
πŸ”Ή Bonyeza Clear Storage

πŸ“Œ Baada ya hapo:
➑️ Toka kwenye settings
➑️ Rudi kwenye menu ya simu
➑️ Fungua tena Prem App
➑️ Kisha Log In upya kwenye akaunti yako

🎯 Utapata taarifa sahihi za sasa na utaweza kupiga picha za wanafunzi waliopo darasani kwa sasa.

πŸ“’ Sambaza ujumbe huu kwa walimu wenzako ili uwasaidie!

πŸ“² Follow channel hii kwa maelekezo na updates zaidi link hii hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaO6AM28vd1M6k5CSr0V

✍️ Imeandaliwa na:
Mwalimu Munene
πŸ“ž 0753 576 431

πŸ’‘ Mwalimu Jipe Furaha

21/03/2026

Wanafunzi wakijipatia Tabasamu kupitia michezo

Address

Tabora
Igunga
255

Telephone

+255753576431

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Saidi Hayawi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mwalimu Saidi Hayawi:

Shortcuts

Share