RosaTrade

RosaTrade St.Mary’s Ulete secondary school was established in 2006 by Father Modestus Masika the diocesan fa

Your life - your choice
01/02/2026

Your life - your choice

Students Notes.
29/04/2025

Students Notes.

The Concept of Colonial Labour Explain the concept of colonial labour Starting from the early 20 th century, colonial gov...

Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2022. Uongozi wa shule na walimu wote wanawapongeza wanahitimu wote kwa kufanya vizuri k...
29/01/2023

Matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2022. Uongozi wa shule na walimu wote wanawapongeza wanahitimu wote kwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne.

Tunakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA UHURU!
09/12/2022

Tunakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA UHURU!

Uongozi wa shule ya St. Mary's unapenda kuwapongeza wote waliochaguliwa na kuijiunga na kidato cha kwanza mwaka 2023.
24/10/2022

Uongozi wa shule ya St. Mary's unapenda kuwapongeza wote waliochaguliwa na kuijiunga na kidato cha kwanza mwaka 2023.

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere.
14/10/2022

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere.

Tunakutakia maadhimisho mema ya Sikukuu ya NANENANE.
08/08/2022

Tunakutakia maadhimisho mema ya Sikukuu ya NANENANE.

Uongozi wa shule ya Sekondari ya St. Mary’s Ulete unawatangazia wazazi/walezi wenye watoto watakoanza kidato cha kwanza ...
19/07/2022

Uongozi wa shule ya Sekondari ya St. Mary’s Ulete unawatangazia wazazi/walezi wenye watoto watakoanza kidato cha kwanza mwaka 2023 kuwa fomu za maombi ya kujiunga tayari zimetoka na zinapatikana maeneo yafuatayo tu;

1. SHULENI – SHULE YA SEKONDARI ST. MARY’S ULETE (0766901727)
2. MAFINGA – KWA MZEE MWASUMILWE SOKONI (0754608240)
3. IRINGA MJINI – “RETCO – FLOWER’S PAY POINT” (0625683884)
4. Kwa walio nje ya mkoa wa Iringa piga simu namba: 0767 300 683

NB: Mitihani itafanyika tarehe 22/10/2022 shuleni St. Mary’s Ulete.
Bei ya kila fomu ni Tsh 10,000/=

IMETOLEWA NA MKUU WA SHULE
0765993900

We wish you and your loved ones a happy Eid al-adha
10/07/2022

We wish you and your loved ones a happy Eid al-adha

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Saba Saba 2022.
07/07/2022

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya Saba Saba 2022.

Happy Father's Day
19/06/2022

Happy Father's Day

Address

Ulete Iringa
Ifunda
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RosaTrade posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to RosaTrade:

Shortcuts

Share

Category